Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Mtoto wa kiume,usiponipa changu mie siimbi,nategemewa mpaka na dingi,rip derrty south nikka.
 
R.I.P geez mabovu,msela wewe ulikuwa na mistari mikali sana,rejeeni wimbo wa 'jisachi' wa Diamond Platimumz ft ngweah,mabov n.k
 
mi hapa natamani kulia mwenzenu ht siamini amini daah
 
Yes,jamaa kafariki.
Moja ya nyimbo zake ni dakika sifuri ft Ngwear.Jamaa ni wa Iringa huyu.
RIP
 
Leo mtaani kuna part flani, machizi wote......................... mabov ft ngwea. R.I.P brothers

Jisachi jisachi kama mchizi una helaaaaa
.

Diamond platinum ft Ngwair na Geez mabovu
 
rip geez kama taifa inabid tuhitathmini,hali ni mbaya sanaa!
 
Madawa yatawamaliza wasanii! Chid Benz ana hitaji msaada wa haraka!

Mungu amlaze anapo stahili!

Muziki bila madawa unawezekana!

Miaka mitano Ijayo kuna wasanii wengi sana watapotea sababu ya Sembe
 
miaka mitano ijayo kuna wasanii wengi sana watapotea sababu ya sembe
hasa wa hiphop,list ni ndeeeeeefu y awna hiphop. Jamani daz baba anaendeleaje,maana huyo ndo alikuwa na dalili zote za kung'oka
 
Mtoto wa kiume lazima nnijitume kama matunda yangu yapo niacheni niyachume...! RIP GEEZ.
 
Kuna ngoma Kali kinoma kaimba ally kiba Marlow na mabovu!!

Bonge la dude
 
nasikia geez alikuwa anatumia "madude" aka sembe.
RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…