Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Kiboko

Kila mtu ameguswa kwa namna yake.
Madhali hajaandika kitu kibaya wala kumtusi mtu.....basi yanini kumfanyia hasira isokuwa na tija kiasi hicho?
 
Last edited by a moderator:
Dah! Mabovu kashaanguka?! Huu mwaka huu hadi unanitisha kwa speed yake ya kuondoka na watu.
Apumzike kwa amani.
Ova
 
hawa masela wakijaga town wanaishia kwenye ma group ya ovyo..wanataka kuwa wajanja kuliko wazawa..kuiga sana unyamwezini sio ujanja..ila ngoma zake za dakika sifuri na mtoto wa kiume ni soo...R.I.P
 
hawa masela wakijaga town wanaishia kwenye ma group ya ovyo..wanataka kuwa wajanja kuliko wazawa..kuiga sana unyamwezini sio ujanja..ila ngoma zake za dakika sifuri na mtoto wa kiume ni soo...R.I.P

Poda ita wamaliza sana vijana, daah mchizi mabovu gang rapper ndio basi tena,dakika 0 mtoto wa kiume ndio kashaenda hivyo.R.I.P nigger!!!
 
~Kaka Voda milionea unawamaliza machizi,wastue wadogo zako waache poda wale mmea.
~King'oko imepotea bora ulivyofungua car wash.
 
In the clouds.i'll meet you again RIP jambazi langu.

ImageUploadedByJamiiForums1415845593.773474.jpg
 
Attachments

  • mabovu.jpg
    mabovu.jpg
    16.3 KB · Views: 528
  • mabovu2.jpg
    mabovu2.jpg
    37.9 KB · Views: 506
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom