Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Kuna vifo vingine vinaleta hasira kwa kua vinaweza kuzuhirika kama cha Geez ila aliamua kufuata njia yake.
R.I.P young nigger there's Heaven for G'z.
Nitasogea ili nikusindikize hommie.
 
"Amani kwa kaka voda milionea,waambie
wadogo zako waache poda wale mmea"---JayMo

M.A.P Mabovu dirty south boy
 
Na huko ndiko nitokako mimi (mabooovu..) Siri ya mafanikio ni kujiamini/ Toka kitaa mpaka juu ya jukwaa Mabovu Makini hadi siku twarudi ardhini...

♡♡♡Naipenda sana hii ngoma kamshirikisha Joh Makini♥♥♥
 
chanzo cha kifo na habari zaidi naendelea kufuatilia
 
wakati unafatilia za Geez mabovu fatilia na za King Majuto tupate huwakika je ni kweli.
 
Huyo mabomu ameimba wimbo gani au ubeti upi maarufu japo tumkumbuke. Honestly simjui kabisaaa
 
Geez Mabovu from Dirty South Iringa nilikuwa nakukubali sana mnyamwezi, nakumbuka ngoma yako mmoja na Ngwea (R.I.P) mkono wa P Funk Majani Party Fulani kisha zilizofuata zote zilikuwa mikono mikali. it's so sad mdosi alizingua kuingiza album yako sokoni chini ya Lamar. Pumzika Kwa Amani!
 
Wiki kama 2 zilizopita mshua wake alikuja kumchukua mchizi baada ya hali yake kuzidi kudhoofika. ..RIP geez mabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…