Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Duh....RIP mani.....umetangulia tupo njiani.
 
Amani kwa kaka voda milionea,waambie wanao waache poda wale mmea_Jay moe :Jipange.

Amani kwa kaka milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea_Langa kileo

Amani kwa voda milionea mwambie moe nimeacha poda na wala sili mmea_langa baada ya kuacha drugs


Ushamjua kaka voda milionea?

Deo Corleon, niambie mimi huyo kaka voda ni nani?naona wenge tu hapa.
 
Dogo asingejiunga na kundi la akina Langa na Babuu wa kitaa kula bange na unga na kutwa kushinda pale Container AAR alikuwa yuko fiti sana

...........kweli mkuu nami almanusra pombe inamalizie hapo. (Mmiliki alikuwa Rastafarian Wa Kibongo)
 
haya mambo ya kujifanya kuiga maisha ya mbele, uhuni na u-gangster yatawamaliza wasanii kabla ya siku zao
 
Amani kwa kaka voda milionea,waambie wanao waache poda wale mmea_Jay moe :Jipange.

Amani kwa kaka milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea_Langa kileo

Amani kwa voda milionea mwambie moe nimeacha poda na wala sili mmea_langa baada ya kuacha drugs


Ushamjua kaka voda milionea?

......... simjui?
 
wako wengi sana wataunga tela hili la mapowda

Wamuige Jay Mo, kitambo sana kwenye game lakini hasubutu kunusa powda. Yeye na mmea a.k.a bange tu, mwenyewe huwa ana kamsemo kake: 'kuwasha udi' 🙂
 
Wamuige Jay Mo, kitambo sana kwenye game lakini hasubutu kunusa powda. Yeye na mmea a.k.a bange tu, mwenyewe huwa ana kamsemo kake: 'kuwasha udi' 🙂

anawasha udi hahahaaaa
tatizo madogo wengi wa kino clan wanaiga sanaa
 
Wamuige Jay Mo, kitambo sana kwenye game lakini hasubutu kunusa powda. Yeye na mmea a.k.a bange tu, mwenyewe huwa ana kamsemo kake: 'kuwasha udi' 🙂
I smoke da Gud shit inanifanya niwaze vyema,hainizingui,hainitibui

Akili ipo sawa sawa,kwenye ndani ya moyo wangu siwezi kuwa mtoto wa mama
 
Haijalish we nani na unatumia nn but kufa nilazima ,jiulize manabii na mitume na watu mashuhuri wazaman wako wapi...wewe unae komaa kutukana et poda,,jiulize wewe utakufa kwa nn,ata watoto wadogo wanakufa,ataasie tumia poda anakufa....ebu niambie wewe usie tumia poda kama unaijua siku yako ya kufa????..watu ufa wakiwa wanatembea,wamelala,safarin n.k

we ninan ad kumuhukum mtu alie tangulia mbele za haki..we wajua poda pekee ndo inaua ila hujui ata ngono inaua ukipata ukimwi???....

Nawauliza waoga wakifo nyie mnaotafuta relief mtu anapokufa kwakusukumia kitu flan bila kujua kifo nilazima.....hakika utakufa

r.i.p geez mabovu i wll miss u brother...am on the way nakuja ulipoenda
 
Wamuige Jay Mo, kitambo sana kwenye game lakini hasubutu kunusa powda. Yeye na mmea a.k.a bange tu, mwenyewe huwa ana kamsemo kake: 'kuwasha udi' 🙂
Mshitue kapachino kwenye kona,akupe kitu cha arusha,mi ninacho cha Dodoma, usisahau kutoka bring,ova kama umenisoma!!


Kama safari ya mbali,basi tutabeba stock,ya kaya ,sigara ,tungi pamoja na totoz_More bounce
 
Dark Master:Nilikwenda Kumuona Geez Sasa Najiandaa Kumzika,Mzee wake alihisi Hatopona Akatuita


Geez Mabovu hatunae Tena.Geez Alifariki jana Majira ya usiku huko mkoani Iringa ambapo alikua akipambana na matatizo ya Figo.


Moja kati ya Marafiki wa Karibu wa Geez Mabovu ambae pia ni mwanamuziki wa siku nyingi Dark Master Kutoka Chamber Squad ameonesha kuguswa mno na kifo cha rafiki yake huyo ambapo hapo kabla aliwasili mapema mkoani Iringa ili kujua maendeleo ya afya yake.


Dark master alikuapo moani Iringa Tangu Siku ya Jumamosi na alifanikiwa kumjua hali mara kadhaa kabla ya hali yake kubadilika na kuacha wanafamilia wakishughulikia matatizo yake kifamilia.


Akiongea na Times fm Dark Master alisema kua baada ya hali ya Geez kubadilika siku chache zilizopita Mzee wa Geez aliwaita ndugu wa kartibu na marafiki wake wa karibu sana waje kumuona kwa mara ya mwisho ingawa walihisi ni wasiwasi tu wa mzee huyo


"Mzee alitupigia simu tuje kumuona kwa kua alihisi hali yake ni mbaya na hatopona ingawa sisi hatukuamini nkawahi kwenda kumuona tangu jumamosi niko Iringa kumuona mshikaji wangu lakini sasa najiandaa kumzika kikubwa tumuombee tu kwa Mungu sababu hakuna anaejijua atakufaje "alisema Dark Master


Dark Master ni Rafiki mkubwa wa Marehemu Geez Mabovu ambae jina lake halisi ni Ahmed Upete na alifanikiwa kufanya nae wimbo ulioitwa Dakika Sifuri ambao pia walishirikana na Hayati Albert Mangwea.


Geez Mabovu anataraji kuzikwa leo majira ya saa kumi jioni mkoani Iringa. Mia
 
anawasha udi hahahaaaa
tatizo madogo wengi wa kino clan wanaiga sanaa

Msikilize Jay Moe kwenye song la Story Tatu:

''Walikuwa na hamu na Mawazo arudi vipi tena,
Baada ya salaamu mazungumzo ndo mi navofanya,
(ili) Mambo yawe thabiti ilimradi tusipotee njia,
Nina story tofauti 3 leo nitakazohadithia,
Ya kwanza ni ya Ahmed, wengi walimuita Medi,
Muite Edi kama unamhusudu, na yeye ndo anavyohusudu,
Familia zilijuana miaka nenda miaka rudi, tangia hatujaanza choma wala hatujuwi ni nini udi,
...... ''

Hako ndo kamsemo ka mkali Jay Mo, 'kuchoma udi'. Hanaga habari na powda/sembe, yeye 'udi' tu. 🙂
 
hivi kipindi kile anaprint t shirt za king'oko ilikuwa ni zuga au alikuwa hajaanza ku piush madudez, halfu mbona hata mtoto wa mkuu kaya na yeye anahusishwa ku deal sembe kule mitaa ya king'oko?
kingoko ilikuwa maskani ya watoto wa mikocheni(regent) wakina langa, babuu etc ilikuwa click kubwa
kuhusu mambo ya ngada lazima baadhi yao walikuwa wanajifunza hadi kutumia kbisa
 
Back
Top Bottom