TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

John tangulia nasi twafata nyuma yako, duniani tunapita.
 
Habari zilizonifikia hivi punde na kuthibitishwa na chanzo huru kinataarifu msanii John Walker ameagaa dunia leo alfajiri akiwa hospitali ya Muhimbili alikofikisha kupatiwa matibabu.

Walker alilipukiwa na gesi jana (iliripotiwa hapa JF pia)

Msanii huyu alitamba na staili yake ya mziki akiimba kama mlevi.

Mungu ampumzishe kwa amani.
A.PE.PE...Alazwe Pema Peponi.
 
Pumzika kwa amani John. Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga Wa milele umuangazie.
 
R. I. P John mtembezi kinachoniuma tu media zimereport kifo chako si kuenzi kwa kupiga nyimbo zako kama vitokeapo vifo vya wasanii wengine ili hali nyimbo zako zilikuwa ni sauti ya wanyonge mfano
Walimu
Sophia
Umaskini huu
Wewe bitoz

Pumzika brother tunajua media zimeona kifo chako hakuna deal kama vifo vya wasanii wengine hupewa promo kubwa lengo likiwa ni deal tu R. I. P John walker
 
.......Mbona watu mnakuwa wambea wambea au hamna hela ya bia.......
 
Mungu akupe pumzika la amani la milele John...!!

R.I.P brother
 
Back
Top Bottom