wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
Wanajamvi.
Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwaataarifu Member mwenzetu Heaven Sent kafiwa na Baba ake Mzazi leo hii.
Kwa Mujibu wa Heaven anasema mzazi wake ameamka salama akiwa anajiandaa kwenda kazini alijiskia vibaya akasema acha apumzike kidogo ataenda baadae.
Gafla hali yake ikabadirika ikabidi akimbizwe Hospitalini Madktari walivyompima wakasema Presha iko juu.
Wakiwa wanaendelea kumpatia huduma hali ilizidi kuwa mbaya zaidi
hatimae Mzee akakata roho.
Raha Ya Milele Umpe Eeh Bwana, Na Mwanga Wa Ulimwengu Umwangazie, Apumzike Kwa Amani. Amen.
Update muhimu. kwa wale watakaopenda kutoa rambi rambi zao wanaweza kupitia huu uzi hapo chini
https://www.jamiiforums.com/threads/tanzia-mrejesho-wa-msiba-wa-baba-wa-mwenzetu.1135484/unread