TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

raha ya milele u mpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie na apumzike kwa amani AMINA.
 
sawa bibie. ila pia hata wewe unaweza kuutafuta mwafaka. mimi tu nimeleta habari.

ni vizuri wadada mkachukua nafasi yenu sisi tutakuwa nyuma yenu.
Angepatikana mpokea hizo rambirambi then kila atakaetuma anakupm kisha una confirm huku I'd pamoja na kiasi alichotoa kila mara una update...

Ila tu uaminifu muhimu ili mwisho wa siku muhusika akabidhiwe michango hiyo...
 
wewe basi fanya hiyo kazi. sio lazima mimi nifanye
 
BABA PUMZIKA KWA AMANI....
DADA POLE SANA ILA USIHUZUNIKE BALI UFURAHI MAANA AMETANGULIA KWENYE MAKAAZI YETU YA MILELE.
 
Back
Top Bottom