TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Wanajamvi.

Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwaataarifu Member mwenzetu Heaven Sent kafiwa na Baba ake Mzazi leo hii.

Kwa Mujibu wa Heaven anasema mzazi wake ameamka salama akiwa anajiandaa kwenda kazini alijiskia vibaya akasema acha apumzike kidogo ataenda baadae.

Gafla hali yake ikabadirika ikabidi akimbizwe Hospitalini Madktari walivyompima wakasema Presha iko juu.

Wakiwa wanaendelea kumpatia huduma hali ilizidi kuwa mbaya zaidi
hatimae Mzee akakata roho.

Raha Ya Milele Umpe Eeh Bwana, Na Mwanga Wa Ulimwengu Umwangazie, Apumzike Kwa Amani. Amen.
POleni sana wafiwa. Mungu yu pamoja nanyi kwenye wakati huu mgumu. Poleni sana@ Heaven Sent.
 
Wanajamvi.

Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwaataarifu Member mwenzetu Heaven Sent kafiwa na Baba ake Mzazi leo hii.

Kwa Mujibu wa Heaven anasema mzazi wake ameamka salama akiwa anajiandaa kwenda kazini alijiskia vibaya akasema acha apumzike kidogo ataenda baadae.

Gafla hali yake ikabadirika ikabidi akimbizwe Hospitalini Madktari walivyompima wakasema Presha iko juu.

Wakiwa wanaendelea kumpatia huduma hali ilizidi kuwa mbaya zaidi
hatimae Mzee akakata roho.

Raha Ya Milele Umpe Eeh Bwana, Na Mwanga Wa Ulimwengu Umwangazie, Apumzike Kwa Amani. Amen.
Msiba wapi tushiriki wajamen
 
My deepest sympathy to 'Heaven Sent' and her family. May her father's soul rest in peace. Time will heal the scar left by life. We pray for the family to be strong.
 
Mkuu mimi sio mwendawazimu mpka nije kusema jambo kubwa kama hili bila kuwa na uhakika.

Offcourse nimeongea na Heaven leo asubuhi baada ya Mzee wake kupata huo mshituko baadae mchana ananitaarifu tayari mzee kishakata roho
Am sorry mkuu,
Hakuna mtu yeyote anayeweza kunifanya niiamini hii taarifa zaidi ya Muhusika mwenyewe Heaven Sent ,
 
Back
Top Bottom