TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Pole sana Heaven Sent, ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na baba. Mungu awape ustahilivu na amjalie marehemu uzima wa milele.
 
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema ndiye alaiyependezwa na uwepo wa mzee wetu huyu duniani na vile vile ndiye aliyependezwa tena kumtwaa tena katika maisha haya basi nichukue fursa hii kuwapa pole Heaven Sent na ndugu zake wote kwa kufikwa na msiba wa mpendwa wao!
 
Kwenye mambo ya msiba huwa kuna privacy?
Labda hujanielewa... Kuna mwingine akifiwa ili kuendelea kulinda privacy yake humu hatataka msiba wake utangazwe humu. Kuna members wanafiwa na wengine wanafariki lakini majina yao ya humu hayawekwi wazi. Refer kifo cha Deo Filikunjombe Mods waliishia kusema tu alikuwa member mwenzetu mzuri tu humu..

Ndio swali langu likaja, Je huyo mfiwa ameruhusu msiba wa mzazi wake utangazwe humu?
 
Back
Top Bottom