Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK, Noted..mpk ameposti ujue mwenyewe karuhusu!
OK, Noted..
Pole kwa Msiba HS.. Mungu ampumzishe kwa amani baba..
Tumekuelewa usemayo ni kweli kabisaLabda hujanielewa... Kuna mwingine akifiwa ili kuendelea kulinda privacy yake humu hatataka msiba wake utangazwe humu. Kuna members wanafiwa na wengine wanafariki lakini majina yao ya humu hayawekwi wazi. Refer kifo cha Deo Filikunjombe Mods waliishia kusema tu alikuwa member mwenzetu mzuri tu humu..
Ndio swali langu likaja, Je huyo mfiwa ameruhusu msiba wa mzazi wake utangazwe humu?
Mkuu....Duh!! Pole yake sana .. mkuu organise mambo ya rambi rambi basi
Mkuu mimi sio mwendawazimu mpka nije kusema jambo kubwa kama hili bila kuwa na uhakika.Napata ukakasi wa kuiamini hii taarifa Cuz muhusika bado hajaja kutoa tamko
BTW
Pole sana Heaven Sent
Mshukuru Mungu kwani yeye ndie anayepanga kilakitu.