TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Labda hujanielewa... Kuna mwingine akifiwa ili kuendelea kulinda privacy yake humu hatataka msiba wake utangazwe humu. Kuna members wanafiwa na wengine wanafariki lakini majina yao ya humu hayawekwi wazi. Refer kifo cha Deo Filikunjombe Mods waliishia kusema tu alikuwa member mwenzetu mzuri tu humu..

Ndio swali langu likaja, Je huyo mfiwa ameruhusu msiba wa mzazi wake utangazwe humu?
Tumekuelewa usemayo ni kweli kabisa
 
Napata ukakasi wa kuiamini hii taarifa Cuz muhusika bado hajaja kutoa tamko
BTW
Pole sana Heaven Sent
Mshukuru Mungu kwani yeye ndie anayepanga kilakitu.
Mkuu mimi sio mwendawazimu mpka nije kusema jambo kubwa kama hili bila kuwa na uhakika.

Offcourse nimeongea na Heaven leo asubuhi baada ya Mzee wake kupata huo mshituko baadae mchana ananitaarifu tayari mzee kishakata roho
 
Back
Top Bottom