Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
POleni sana wafiwa. Mungu yu pamoja nanyi kwenye wakati huu mgumu. Poleni sana@ Heaven Sent.Wanajamvi.
Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwaataarifu Member mwenzetu Heaven Sent kafiwa na Baba ake Mzazi leo hii.
Kwa Mujibu wa Heaven anasema mzazi wake ameamka salama akiwa anajiandaa kwenda kazini alijiskia vibaya akasema acha apumzike kidogo ataenda baadae.
Gafla hali yake ikabadirika ikabidi akimbizwe Hospitalini Madktari walivyompima wakasema Presha iko juu.
Wakiwa wanaendelea kumpatia huduma hali ilizidi kuwa mbaya zaidi
hatimae Mzee akakata roho.
Raha Ya Milele Umpe Eeh Bwana, Na Mwanga Wa Ulimwengu Umwangazie, Apumzike Kwa Amani. Amen.
Kama Mbeya ni sehemu gani mkuu?Mkuu bado nafanya nae mawasiliano zaidi. pale atapokuwa tayari nitawapatia no zake za sm.
ila msiba uko Mkoani Mbeya.
Msiba wapi tushiriki wajamenWanajamvi.
Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwaataarifu Member mwenzetu Heaven Sent kafiwa na Baba ake Mzazi leo hii.
Kwa Mujibu wa Heaven anasema mzazi wake ameamka salama akiwa anajiandaa kwenda kazini alijiskia vibaya akasema acha apumzike kidogo ataenda baadae.
Gafla hali yake ikabadirika ikabidi akimbizwe Hospitalini Madktari walivyompima wakasema Presha iko juu.
Wakiwa wanaendelea kumpatia huduma hali ilizidi kuwa mbaya zaidi
hatimae Mzee akakata roho.
Raha Ya Milele Umpe Eeh Bwana, Na Mwanga Wa Ulimwengu Umwangazie, Apumzike Kwa Amani. Amen.
Shughuli gani hiyo?Usikute huyu mfiwa ni yule aliyekuwa kwenye michakato ya shughuli yake na Babae ndiye huyo aliyefariki.
Am sorry mkuu,Mkuu mimi sio mwendawazimu mpka nije kusema jambo kubwa kama hili bila kuwa na uhakika.
Offcourse nimeongea na Heaven leo asubuhi baada ya Mzee wake kupata huo mshituko baadae mchana ananitaarifu tayari mzee kishakata roho
Nimesikitika sana mtani,HS anavyosimulia jinsi baba yake anavyompenda...Pole sana Heaven Sent na familia nzima. Mungu awe mfariji wenu.