TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Pole sana my dear, Mungu akawe faraja yenu ktk kipindi hiki kigumu, I know hali unayopitia lkn Biblia inasema tushukuru kwa kila jambo
 
Pole sana HS pamoja na familia kwa msiba huu mzito. Mungu akupeni nguvu na ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
Marehemu apumzike kwa amani. Amen.
 
Back
Top Bottom