Tanzia: Mzee Manento wa Bongo Movie afariki dunia

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938


Taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kuwa msanii wa Bongo movie ameaga dunia.Ila bado habari hizi hazijawa na uhakika.

RIP mzee wetu.


============ Updates ==========

Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.

Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani

Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

Chanzo: bongomovies.com

 
Alikua akiigiza vizuri huyu baba kama wanaija
 
Jamani mzee huyu kafariki?? Duh!! RIP Manento.
 
Poleni watanzania kwa kumpoteza mwigizaji bora.
 
Manento alianzia kushine Kaole pale, kisha akawa akicheza filamu nyingi sana za Game 1st Quality akiwa na marehemu Kanumba na wasanii wengine, lakini baada ya Kanumba kuondoka Game 1st Quality na kuhamia Steps, hakuwa akifanya naye filamu sana.

Huyu Mzee alikuwa anaumwa nakunbuka kama miezi miwili iliyopita nilimuona kwenye luninga akiongea kuhusu kuugua kwake huku akiwa amedhoofu sana, na alikuwa akisema ameanza kupata nafuu.

RIP Mzee wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…