Tanzia: Mzee Manento wa Bongo Movie afariki dunia

Tanzia: Mzee Manento wa Bongo Movie afariki dunia

Jina lako halisi ni lipi?
Pole kwa familia
 
Mijitu mingine sisi, yaani hata wasanii wetu hatuwajui! Rest In Peace Mr. Manento.
 
Mungu akamueke pale alipopachagua alipokua hai.....

Nilianza kumjua kwenye movie ya marehemu kanumba aliyoigiza na akina mercy Johnson inaitwa DAR TO LAGOS dah nilimkubal sana , yule mzee alikuwa na hekima sana na Mpole, yani sijui kwa nini Roho imeniuma kweli kusikia hatupo nae Tena, Rest in Peace mzee
 
Aliigiza na kanumba sanaaa huyo mzeeee

Kwa hiyo kama aliigiza na kanumba ulikuwa unasemaje labda??

mzee wa watu alikuwa mpole, ila angekuwa mbea mbea kama warumi asingeugua ma presha na kisukar
 
Last edited by a moderator:
Manento alianzia kushine Kaole pale, kisha akawa akicheza filamu nyingi sana za Game 1st Quality akiwa na marehemu Kanumba na wasanii wengine, lakini baada ya Kanumba kuondoka Game 1st Quality na kuhamia Steps, hakuwa akifanya naye filamu sana.

Huyu Mzee alikuwa anaumwa nakunbuka kama miezi miwili iliyopita nilimuona kwenye luninga akiongea kuhusu kuugua kwake huku akiwa amedhoofu sana, na alikuwa akisema ameanza kupata nafuu.

RIP Mzee wetu.

Game first quality imewatoa wasanii wengi ikiwemo kanumba, masikin wote hawapo tena , siwezi mimi , naumia sana, nataman ingekuwa kama zaman, familia ya bongo movie inapungua
 
Nilianza kumjua kwenye movie ya marehemu kanumba aliyoigiza na akina mercy Johnson inaitwa DAR TO LAGOS dah nilimkubal sana , yule mzee alikuwa na hekima sana na Mpole, yani sijui kwa nini Roho imeniuma kweli kusikia hatupo nae Tena, Rest in Peace mzee

Yani binamu wala roho isikuuume tambua tu siku yake ilishafika na sote tutakufa tupo safarini hivi wakat wowote nas tutakwenda hatujui muda wala siku cha msingi kumuomba mungu sana namkumbuka huyu baba had the way alikua akiongea alikua mzee wapili kumpenda akiigiza wa kwanza akiwa mzee.chillo...mungu awape tahfif wafiwa wote kwenye kipind hiki kigumu kwao.
 
Pumzika kwa amani mzee wetu......huwa najiuliza sana mara nyingi mke akifariki hasawakiwa wameshakuwa watu wazima mume nae haishi muda mrefu nae hufariki.Japo kama mke amebaki huishi
 
Nilianza kumjua kwenye movie ya marehemu kanumba aliyoigiza na akina mercy Johnson inaitwa DAR TO LAGOS dah nilimkubal sana , yule mzee alikuwa na hekima sana na Mpole, yani sijui kwa nini Roho imeniuma kweli kusikia hatupo nae Tena, Rest in Peace mzee

huyo mzee alikuaga polisi ameishi mikoa mingi sana nakumbuka miaka ya 90 alikua kamanda wa polisi mkoani mtwara kabla haja staafu na kurudi dar,hata huyo mtoto wa 4 mr godfrey manento alikua Mwalimu wangu wa shule ya msingi ligula iliyopo mkoani Mtwara kwa wale wote waliosoma hiyo shule kuanzia 2000 kurudi nyuma wana mpata sana huyo jamaa ni mwalimu mzuri sana wa english kwa level elimu ya primary....R.i.p Mzee Manento.
 
Manento alianzia kushine Kaole pale, kisha akawa akicheza filamu nyingi sana za Game 1st Quality akiwa na marehemu Kanumba na wasanii wengine, lakini baada ya Kanumba kuondoka Game 1st Quality na kuhamia Steps, hakuwa akifanya naye filamu sana.

Huyu Mzee alikuwa anaumwa nakunbuka kama miezi miwili iliyopita nilimuona kwenye luninga akiongea kuhusu kuugua kwake huku akiwa amedhoofu sana, na alikuwa akisema ameanza kupata nafuu.

RIP Mzee wetu.

Miaka ya 90 huyu mzee alikua askari polisi na amesha wahi kufanya kazi mkoani mtwara kabla ya kustaafu na kurudi dar,nadhani baada ya kustaafu ndipo aka amua kuendeleza kipaji chake cha uigizaji....RIP Mzee Manento.
 
Back
Top Bottom