Tanzia: Mzee Manento wa Bongo Movie afariki dunia

Mmh R.i.p Mzee Manento,Poleni wasanii Bongo movie
 
Alikuwa anaigiza vizuri sana. R.I.P mzee.
 
Alivaa uhusika visur sana dar 2 lagos.RIP mzee.
 
R.I.P Mzee Manento, wasanii na Watanzania kwa ujumla.
 
Aliigiza na kanumba sanaaa huyo mzeeee
Jamaa kaniambia aliigiza movie ya Dar to Lagos, Huwa napanga kuiangalia hii movie tangu itoke but sijafanikiwa kupata muda. Nasikia ni nzuri sana, Safari hii Lazima niitafute. Mia
 
kwenye siri la mtungi hakwepo?
 
Pumzika kwa Amani msanii wetu;
Pole sana wafiwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…