TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta

Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa

Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote.

Alikuwa Nabii mkubwa aliyejitoa kwa kazi ya Mungu

Mwenye taarifa zaidi atujuze

=====

TANZIA NABII FLORA AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA KITENGULE JIJINI DAR ES SALAAM ,
FB_IMG_1722087379957.jpg

MSIBA UKO KANISANI KWAKE MBUYUNI NJIA YA KUINGILIA SALASALA UPANDE WA KULIA.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE, APUMZIKE KWA AMAN AMEEN.

DR. CATHERINE YATOSHA

Kwa masikitiko makubwa kabisa tumeondokewa na dada yetu mpendwa Nabii Frolah Peter Makunga amefariki Jana jioni Tarehe 25/7/2024 hapo Dar es salaam Katika hospital ya KITENGULE - TEGETA * alipokuwa akipatiwa matibabu kwa muda, tunafanya utaratibu wa kusafirisha *Shinyanga kwaajili ya mazishi kijijini kwao LOHUMBO kata ya NYIDA Shinyanga Vijijini.

Bwana alitoa na bwana ametwaa hivyo jina lake na libarikiwe.

Hii ni taarifa ya awali

HISTORIA FUPI
Nabii+Flora.jpg

Bwana Yesu Asifiwe, anaitwa Nabii Flora Peter wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi Mbezi Beach Salasala hapa jijini Dar es Salaam.

Alianza huduma Mbezi mwaka 2010, alianza peke yake bila ya mtu yeyote yule, akawa anafanya huduma yake nje na hakuwa na sehemu rasmi kwaajili ya kazi ya Mungu ,kwahiyo akawa anafanyia maombezi nyumbani.

Alikuwa anmuomba Mungu sana akiwa peke yangu ili amsaidie katika huduma.

Maono yake ilikuwa kusaidia watoto Yayima
 
Wadau hamjamboni nyote?

Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya rabinisya Tegeta

Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa

Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote.

Alikuwa Nabii mkubwa aliyejitoa kwa kazi ya Mungu

Mwenye taarifa zaidi atujuze

=====

TANZIA NABII FLORA AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA KITENGULE JIJINI DAR ES SALAAM ,

MSIBA UKO KANISANI KWAKE MBUYUNI NJIA YA KUINGILIA SALASALA UPANDE WA KULIA.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE, APUMZIKE KWA AMAN AMEEN.

DR. CATHERINE YATOSHA
Huyu nabii kwanini asipae akazikwe mawinguni?
 
Back
Top Bottom