Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Nabii atakufaje?? Au kapaa mbinguni!!? Ha ha ha hatareeeWadau hamjamboni nyote?
Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya rabinisya Tegeta
Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa
Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote.
Alikuwa Nabii mkubwa aliyejitoa kwa kazi ya Mungu
Mwenye taarifa zaidi atujuze
=====
TANZIA NABII FLORA AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA KITENGULE JIJINI DAR ES SALAAM ,
View attachment 3053833
MSIBA UKO KANISANI KWAKE MBUYUNI NJIA YA KUINGILIA SALASALA UPANDE WA KULIA.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE, APUMZIKE KWA AMAN AMEEN.
DR. CATHERINE YATOSHA
Kwa masikitiko makubwa kabisa tumeondokewa na dada yetu mpendwa Nabii Frolah Peter Makunga amefariki Jana jioni Tarehe 25/7/2024 hapo Dar es salaam Katika hospital ya KITENGULE - TEGETA * alipokuwa akipatiwa matibabu kwa muda, tunafanya utaratibu wa kusafirisha *Shinyanga kwaajili ya mazishi kijijini kwao LOHUMBO kata ya NYIDA Shinyanga Vijijini.
Bwana alitoa na bwana ametwaa hivyo jina lake na libarikiwe.
Hii ni taarifa ya awali
HISTORIA FUPI
View attachment 3053832
Bwana Yesu Asifiwe, anaitwa Nabii Flora Peter wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi Mbezi Beach Salasala hapa jijini Dar es Salaam.
Alianza huduma Mbezi mwaka 2010, alianza peke yake bila ya mtu yeyote yule, akawa anafanya huduma yake nje na hakuwa na sehemu rasmi kwaajili ya kazi ya Mungu ,kwahiyo akawa anafanyia maombezi nyumbani.
Alikuwa anmuomba Mungu sana akiwa peke yangu ili amsaidie katika huduma.
Maono yake ilikuwa kusaidia watoto Yayima
Huyu nabii kwanini asipae akazikwe mawinguni?
Nikikumbuka video yake alivyo kuwa akimuongoza "mbebwa miujiza" akijua amezima [emoji441] nachoka kabisa.Sijui atamjibu nini Mungu kwa kufuru zake, wakristo tumuogopeni Mungu tuache kumfanyia dhihaka tuyafuate maamrisho yanataka nini
......... ni kama vile alijikoboa, tena kwa nguvu sana.Hivi huyu maza alikuwa kajikoboa au vitiligo?
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya rabinisya Tegeta
Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa
Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote.
Alikuwa Nabii mkubwa aliyejitoa kwa kazi ya Mungu
Mwenye taarifa zaidi atujuze
=====
TANZIA NABII FLORA AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA KITENGULE JIJINI DAR ES SALAAM ,
View attachment 3053833
MSIBA UKO KANISANI KWAKE MBUYUNI NJIA YA KUINGILIA SALASALA UPANDE WA KULIA.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE, APUMZIKE KWA AMAN AMEEN.
DR. CATHERINE YATOSHA
Kwa masikitiko makubwa kabisa tumeondokewa na dada yetu mpendwa Nabii Frolah Peter Makunga amefariki Jana jioni Tarehe 25/7/2024 hapo Dar es salaam Katika hospital ya KITENGULE - TEGETA * alipokuwa akipatiwa matibabu kwa muda, tunafanya utaratibu wa kusafirisha *Shinyanga kwaajili ya mazishi kijijini kwao LOHUMBO kata ya NYIDA Shinyanga Vijijini.
Bwana alitoa na bwana ametwaa hivyo jina lake na libarikiwe.
Hii ni taarifa ya awali
HISTORIA FUPI
View attachment 3053832
Bwana Yesu Asifiwe, anaitwa Nabii Flora Peter wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi Mbezi Beach Salasala hapa jijini Dar es Salaam.
Alianza huduma Mbezi mwaka 2010, alianza peke yake bila ya mtu yeyote yule, akawa anafanya huduma yake nje na hakuwa na sehemu rasmi kwaajili ya kazi ya Mungu ,kwahiyo akawa anafanyia maombezi nyumbani.
Alikuwa anmuomba Mungu sana akiwa peke yangu ili amsaidie katika huduma.
Maono yake ilikuwa kusaidia watoto Yayima
......... ni kama vile alijikoboa, tena kwa nguvu sana.
Wameshindwa kumponya alipouguwa ndio sembuse mfu?Nabii wenzake watamfufua
Ova