Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Yes Nabii Johnny SuckNabii flora????? Hivi vyeo wanapewa na nani?
Au hata mimi nikianza kujiita nabii basi ndio nakuwa nabii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes Nabii Johnny SuckNabii flora????? Hivi vyeo wanapewa na nani?
Au hata mimi nikianza kujiita nabii basi ndio nakuwa nabii
Mashallah,malaika wanakwenda kufaidi tu huko mbinguni
Your classmate again UshimenWadau hamjamboni nyote?
Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya rabinisya Tegeta
Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa
Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote.
Alikuwa Nabii mkubwa aliyejitoa kwa kazi ya Mungu
Mwenye taarifa zaidi atujuze
=====
TANZIA NABII FLORA AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA KITENGULE JIJINI DAR ES SALAAM ,
View attachment 3053833
MSIBA UKO KANISANI KWAKE MBUYUNI NJIA YA KUINGILIA SALASALA UPANDE WA KULIA.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE, APUMZIKE KWA AMAN AMEEN.
DR. CATHERINE YATOSHA
Kwa masikitiko makubwa kabisa tumeondokewa na dada yetu mpendwa Nabii Frolah Peter Makunga amefariki Jana jioni Tarehe 25/7/2024 hapo Dar es salaam Katika hospital ya KITENGULE - TEGETA * alipokuwa akipatiwa matibabu kwa muda, tunafanya utaratibu wa kusafirisha *Shinyanga kwaajili ya mazishi kijijini kwao LOHUMBO kata ya NYIDA Shinyanga Vijijini.
Bwana alitoa na bwana ametwaa hivyo jina lake na libarikiwe.
Hii ni taarifa ya awali
HISTORIA FUPI
View attachment 3053832
Bwana Yesu Asifiwe, anaitwa Nabii Flora Peter wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi Mbezi Beach Salasala hapa jijini Dar es Salaam.
Alianza huduma Mbezi mwaka 2010, alianza peke yake bila ya mtu yeyote yule, akawa anafanya huduma yake nje na hakuwa na sehemu rasmi kwaajili ya kazi ya Mungu ,kwahiyo akawa anafanyia maombezi nyumbani.
Alikuwa anmuomba Mungu sana akiwa peke yangu ili amsaidie katika huduma.
Maono yake ilikuwa kusaidia watoto Yayim
Asante mkuuPole kwa msiba
Wapi huko mkuu na mimi nikachukue mkatabaMikataba yao ikifika mwisho duniani wanaenda kutumika upande wa pili hadi mda sahihi aliopangiwa na Mola ukifika
Mchek chief good love akupelekeWapi huko mkuu na mimi nikachukue mkataba
Hapana, atakaa akisubiri hadi kiama hlf sisi wanawake wote tunagawiwa katika makundi ya sabini na wawili kwa akina makaveli10Mashallah,malaika wanakwenda kufaidi tu huko mbinguni
Katika hayo makundi mi naomba nigawiwe ephen_Hapana, atakaa akisubiri hadi kiama hlf sisi wanawake wote tunagawiwa katika makundi ya sabini na wawili kwa akina makaveli10
100% na wewe ukiwepo inshallah,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Una uhakika utaenda Mbinguni kwenye mabikra 72?😂
Haya tukutane Mbinguni☺️100% na wewe ukiwepo inshallah,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Najiuliza sana this day, how does this work? Who qualify them?Nabii flora????? Hivi vyeo wanapewa na nani?
Au hata mimi nikianza kujiita nabii basi ndio nakuwa nabii
Wewe amewahi kukupeleka au unasikia magazetiniMchek chief good love akupeleke
Tufe lini sasa?,🤣🤣🤣🤣Haya tukutane Mbinguni☺️