TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

Wadau hamjamboni nyote?

Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya rabinisya Tegeta

Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa

Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote.

Alikuwa Nabii mkubwa aliyejitoa kwa kazi ya Mungu

Mwenye taarifa zaidi atujuze

=====

TANZIA NABII FLORA AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA KITENGULE JIJINI DAR ES SALAAM ,
Inachanganya sana
Ukisoma post #5👇

1722147110863.png
 
huu unabii wa karne hii huu mmmhh.wakristo mjitafakari sio kila ukilala ukaamka unajiita nabii,hiv mnajua hata sifa za binadamu kuitwa nabii??
Usitupangie,mbona kuna wabeba majini wakina sharifu manawaamini,same game defferent players
 
Wadau hamjamboni nyote?

Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya rabinisya Tegeta

Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa

Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote.

Alikuwa Nabii mkubwa aliyejitoa kwa kazi ya Mungu

Mwenye taarifa zaidi atujuze

=====

TANZIA NABII FLORA AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITALI YA KITENGULE JIJINI DAR ES SALAAM ,
View attachment 3053833
MSIBA UKO KANISANI KWAKE MBUYUNI NJIA YA KUINGILIA SALASALA UPANDE WA KULIA.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE, APUMZIKE KWA AMAN AMEEN.

DR. CATHERINE YATOSHA

Kwa masikitiko makubwa kabisa tumeondokewa na dada yetu mpendwa Nabii Frolah Peter Makunga amefariki Jana jioni Tarehe 25/7/2024 hapo Dar es salaam Katika hospital ya KITENGULE - TEGETA * alipokuwa akipatiwa matibabu kwa muda, tunafanya utaratibu wa kusafirisha *Shinyanga kwaajili ya mazishi kijijini kwao LOHUMBO kata ya NYIDA Shinyanga Vijijini.

Bwana alitoa na bwana ametwaa hivyo jina lake na libarikiwe.


Hii ni taarifa ya awali

HISTORIA FUPI
View attachment 3053832
Bwana Yesu Asifiwe, anaitwa Nabii Flora Peter wa Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi Mbezi Beach Salasala hapa jijini Dar es Salaam.

Alianza huduma Mbezi mwaka 2010, alianza peke yake bila ya mtu yeyote yule, akawa anafanya huduma yake nje na hakuwa na sehemu rasmi kwaajili ya kazi ya Mungu ,kwahiyo akawa anafanyia maombezi nyumbani.

Alikuwa anmuomba Mungu sana akiwa peke yangu ili amsaidie katika huduma.

Maono yake ilikuwa kusaidia watoto Yayima
nabii wa kike😂😂😂 Mungu apokee kiumbe chake akiweke sehemu stahiki
 
Mlango WA Unabii na Utume ulishafungwa kitambo!

Ukiona hizi takataka mambo Leo jua ni matapeli tu WA kawaida waliojiajiri kwenye sekta ya injili!
 
Hivi Jina "Nabii' alilipataje?
Nani alimpa?
Au alijipa yeye mwenyewe?
Kama alikuwa kweli anatimiza mapenzi ya Mola RIP Madam.
Kama alikuwa anafanya yale ya "wale manabii" wengine ni majuto
 
Mungu fundi sana,
Anajua starehe ya mwanaume ni mwanamke mrembo, hivyo peponi wanaume tutapewa wanawake warembo.
Kisha wanawake ni wanapenda uzuri, kuhangaika kote, make up, sijui dawa za kuongeza nyonyo, kutoa kitambi, kuongeza tako na hips ni kuusaka urembo, sasa wanawake watakaoingia peponi ndio watapewa urembo usio na kifani, ndio hao mahurain.

Swali je binamu yangu utakubali kuwa hurain wangu wa peponi, tugegedane huko peponi? 😂
Binamu kama mkiambiwa kuchagua wewe nichague tu nisije patwa na wengine wasinionee huruma.

Na nasikia hakuna kupika wala kwenda kazini, ni humu tuuuu…🤣
 
Binamu kama mkiambiwa kuchagua wewe nichague tu nisije patwa na wengine wasinionee huruma.

Na nasikia hakuna kupika wala kwenda kazini, ni humu tuuuu…🤣
Upike umpikie nani, kule ni BAFUNIKA, BAFUNUA😂, Hakuna kwenda kazini, KAZI ni 1 tu 🤣😂

Nitakuchagua binamj, usijali kabisa, utakuwa hurain wangu huko
 
Kanisa lake lilijifia siku nyingi tuu
Uko sahihi 100% Mkuu. Baada ya kuacha kubakia Yeye kama Yeye Mtumishi wa Mungu asiyekuwa na mambo ya Kidunia na kuamua rasmi kuanzisha Mahusiano na Kijana Mmoja hivi wa Fursa aitwae Daniel ( Danny ) ambaye ni Daktari aliyeanza kwenda / kuhudhuria hapo Kanisani Kwake kama Mgonjwa na alipopona tu Mioyo yao ikapendana na wakaanzisha Mahusiano na hapo ndipo ile Nguvu ya Mtumishi Nabii Flora Peter ilipoanza Kupungua na hadi kuanza Kukimbiwa hasa na Mtumishi Mtiifu wake aitwae Raphael ( japo Watumishi wengine Watiifu akina Komba na Octavian ) walikuwa wakija na kuondoka kwani Kisirisiri nao walikuwa wamejiunga na Kanisa la Mzee Lupindo pale Kawe hivyo akabakia na Mtumishi wa Kike Mchumia Tumbo Mchagaa aitwae Pastor Julie ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi pale Ilala Msimbazi Center.
 
Back
Top Bottom