TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

Huo unabii aliupata wapi?
 
Daaaa!!
 
Alianza kwa Askofu Bendera Kigamboni,ndipo akafungua la kwake . Dokii ndiye alikuwa campaign manager wao.
 
Dah.....Rest easy Nabii Florah.
Manabii wanawake kwa kawaida ni wachahce sana.
Hata zama za kale hawakuwa wengi.
Kumpoteza huyu nabii ni pigo kubwa wa wafuasi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…