Hamna hata.. Starehe nenda nazo mwenyewe tu. Ukienda mwenyewe huwezi kupaenjoyWanasema huko kuna kila aina ya starehe na ukienda ujipange kifedha
Ukiwaza kifo cha maji ukiwa unaoga hata bafuni unaweza ahirisha zoezi,
Pumzika kwa amani latino
Kuna siku nakula kitimoto kwa Alfonso coco pale ,mdada mmoja namwambia hao wahuni tu km unashida ya kuogelea nenda msasani cine au mbalamwezi akaleta nyodo, akaenda nao kurudi kanuna huyo hatari ,nikajua huyu km hajapigwa midole kala dusheeKweli Wahuni Sana.
Kuna dada mmoja yupo mabibo hostel aliwai poteza iphone 7 huko huko ilidumbukia majini ila inavyoonesha si salama kwenda maana wengi wamenusa harufu ya kifo.Hamna hata.. Starehe nenda nazo mwenyewe tu. Ukienda mwenyewe huwezi kupaenjoy
Wengi Sana wanakufa huko basi tu hawatangazwi. Huyu tumejua sababu anajulikanaKuna dada mmoja yupo mabibo hostel aliwai poteza iphone 7 huko huko ilidumbukia majini ila inavyoonesha si salama kwenda maana wengi wamenusa harufu ya kifo.
Teh teh teh[emoji23]Kuna siku nakula kitimoto kwa Alfonso coco pale ,mdada mmoja namwambia hao wahuni tu km unashida ya kuogelea nenda msasani cine au mbalamwezi akaleta nyodo, akaenda nao kurudi kanuna huyo hatari ,nikajua huyu km hajapigwa midole kala dushee
Kweli kabisa amekuwa kama chambo ili watu wajue yanayotokea huko Ibiza ya mbudya.Wengi Sana wanakufa huko basi tu hawatangazwi. Huyu tumejua sababu anajulikana
Hii Mbudya iko wapAmefia Mbudya?!
Wakikujibu unitagHicho kisiwa kipo wapi??
Mkuu si chambo,Mbudya inakula watu si mchezo ,uliza wavuvi kunduchi,ununio ,kawe ,msasani dagoni pale ,watakuambia ,hz mnazosema sijui Ben pol ,na huyu wa Leo,kuna artist wa Kenya kaishaenda na maji ,kuna wasiojulikana wengi tuKweli kabisa amekuwa kama chambo ili watu wajue yanayotokea huko Ibiza ya mbudya.
Sio bahari tuu asee nakumbuka mwaka 2011 nilimsindikiza mshkaji mmoja raiya wa netherland mwanza kesho yake tukaenda fukwe za ziwa victoria nikiwa nishaonja pombe nkaenda kuogelea nilipigwa na wimbi likanipack kwenye kina kirefu nikahisi nko kuzimu nikapambana nkatoka cha kwanza nilichukua nguo nkaenda kuvalia counter,pombe yote iliishaYa kwenye Maji matamu ila sio baharini aisee
Haaaaaa IMOOOOOOOOOOOOOOOOOO la DUSHE.Kuna siku nakula kitimoto kwa Alfonso coco pale ,mdada mmoja namwambia hao wahuni tu km unashida ya kuogelea nenda msasani cine au mbalamwezi akaleta nyodo, akaenda nao kurudi kanuna huyo hatari ,nikajua huyu km hajapigwa midole kala dushee
Hii Mbudya iko wap
Hapa hapa Dar kilomita chache toka ufukwe wa bahari kama unaenda Zanzibar kwa boat huwa unakipita kikiwa kushoto kwa boat.Hii Mbudya iko wap
Chid nae hali yake sio hali, juzi anahojiwa pale Tandale, alichojibu anajua Chid mwenyewe na Mola wakeJamaa aliitengeneza beat ya Ngoma Itambae - Chid Benz si mchezo...ila maji nayo hayana masihara
Hahahahahaaa.. Pole SanaSio bahari tuu asee nakumbuka mwaka 2011 nilimsindikiza mshkaji mmoja raiya wa netherland mwanza kesho yake tukaenda fukwe za ziwa victoria nikiwa nishaonja pombe nkaenda kuogelea nilipigwa na wimbi likanipack kwenye kina kirefu nikahisi nko kuzimu nikapambana nkatoka cha kwanza nilichukua nguo nkaenda kuvalia counter,pombe yote iliisha
Shukrani kwa kunikumbusha mkuu na mabeste ni family memberM Rap
Simamenj hakuna wa kupigania haki zenu tasnia hii Tanzania my peoples on the menyu.Yaah bye byee...kuhusu bye byeee...Noma sanaa panchooooooo.
Hivi mkuu pancho ana undugu na shettaDah pancho latino R.I.P ninja
.
Hawa jamaa sijui wapo kwenye hali gani
1. Shetta
2.hammy B-mmiliki wa studio
3.Ambwene yesaya
4. Mwana FA
5.nimekasahu Jina kadogo kamoja hivi kame graduate tumaini
Pancho pancho pancho mungu akufanyie wepesi aisse
Shukran mkuuHapa hapa Dar kilomita chache toka ufukwe wa bahari kama unaenda Zanzibar kwa boat huwa unakipita kikiwa kushoto kwa boat.
Ukikaa Coco beach kinaonekana vizuri.