TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Kuna siku nakula kitimoto kwa Alfonso coco pale ,mdada mmoja namwambia hao wahuni tu km unashida ya kuogelea nenda msasani cine au mbalamwezi akaleta nyodo, akaenda nao kurudi kanuna huyo hatari ,nikajua huyu km hajapigwa midole kala dushee
Teh teh teh[emoji23]
 
"Taifa la kondoo huendeshwa na serikali ya dubu na mbwa mwitu wenye hasira ili bepari umuabudu kimahakama,kiserikali,kidini umsuduju huo ni utumwa pia hufanya vijana wanaumia tunaishia kufia mabatani kama nzi ndani ya glasi ya bia".....#Siri_ya_mchezo
 
Kweli kabisa amekuwa kama chambo ili watu wajue yanayotokea huko Ibiza ya mbudya.
Mkuu si chambo,Mbudya inakula watu si mchezo ,uliza wavuvi kunduchi,ununio ,kawe ,msasani dagoni pale ,watakuambia ,hz mnazosema sijui Ben pol ,na huyu wa Leo,kuna artist wa Kenya kaishaenda na maji ,kuna wasiojulikana wengi tu
 
Ya kwenye Maji matamu ila sio baharini aisee
Sio bahari tuu asee nakumbuka mwaka 2011 nilimsindikiza mshkaji mmoja raiya wa netherland mwanza kesho yake tukaenda fukwe za ziwa victoria nikiwa nishaonja pombe nkaenda kuogelea nilipigwa na wimbi likanipack kwenye kina kirefu nikahisi nko kuzimu nikapambana nkatoka cha kwanza nilichukua nguo nkaenda kuvalia counter,pombe yote iliisha
 
Hahahahahaaa.. Pole Sana
 
Dah pancho latino R.I.P ninja
.
Hawa jamaa sijui wapo kwenye hali gani
1. Shetta
2.hammy B-mmiliki wa studio
3.Ambwene yesaya
4. Mwana FA
5.nimekasahu Jina kadogo kamoja hivi kame graduate tumaini
Pancho pancho pancho mungu akufanyie wepesi aisse
Hivi mkuu pancho ana undugu na shetta
 
Back
Top Bottom