palsa
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 1,339
- 1,701
TrueAcha uongo..ukijua kuogelea umejua tu...hakuna cha mto wala bahari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueAcha uongo..ukijua kuogelea umejua tu...hakuna cha mto wala bahari
Kukoje kwaniTafuta siku nenda kaogelee kichwa kichwa ndo utaelewa inshort mimi nimenusurika pale
Msuli unabanaje jamani?Kuna mshikaji mmoja wa timu ya vijana basketball miaka ya nyuma,alifanya mazoezi nje kwenye fukwe kigamboni akaingia kuogelea,msuli ukabana tulizika mbona
Wewe unatokea mkoa gani. HahahaNimekuja mbio nikidhani uzi umesindikizwa na kapicha
Wengine tulikuwa hatumjui kwa sura aisee
Hiki kisa chako kinahuzunisha na kuchekesha kicheko cha huzuni yani nguo zinavulika kabla ya kuzivua. Mi nimezoea kuogelea kwenye swimming pool baharini na allergy napomwaka 2014 mwezi 12 nilinusurika kufa maji msasani beach baada ya maji kurudi nilikuwa mbali kidogo na ukingo wa bahari.nilitumia maarifa na nguvu zangu zote kujiokoa nilikuwa nimevaa vest na boxer cha ajabu ile vest na boxer niliiziona nzito na sijui nilizivua vipi na kubaki uchi nilipiga miguu mpaka msuli wa mguu moja wa kushoto ukanishika niliishiwa nguvu nikiwa naelekea chini huku nimisha kubali kifo bahati nzuri ile nimegota chini nayasikia maji utosini nikaenda mbele kidogo ndipo yakanifikia machoni.
tokea mwaka 2014 sijawahi kurudi baharini tena wala kusogelea maji yoyote kwa ajili ya kuogelea-bahari sasa naiona kama kituo cha polisi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Dah mkuu nimecheka sana baada kuona mchapio wa Mheshimiwa..Hii thread inaongoza kwa michapio, sijui kiswahili kigumu?
Ukisoma comments zote utaelewa ,tumejadili huko juuMsuli unabanaje jamani?
I have no ideas walahUkisoma comments zote utaelewa ,tumejadili huko juu
Baharini ukiingia na saa/bangili hutoki nayo kama boxer/chupi iwe ya kubana sana ikipelea kidogo inashuka, habari haifaiHiki kisa chako kinahuzunisha na kuchekesha kicheko cha huzuni yani nguo zinavulika kabla ya kuzivua. Mi nimezoea kuogelea kwenye swimming pool baharini na allergy napo
Tumia muda utaona tuI have no ideas walah
Muscle cramp kama unaipata.Msuli unabanaje jamani?
Bora umenisaidia Mkuu ,maana niache ugimbi Wangu nianze darsa tena,aaarghMuscle cramp kama unaipata.
Ataelewa vizuri siku ukimkaza.Bora umenisaidia Mkuu ,maana niache ugimbi Wangu nianze darsa tena,aaargh
HahahahaAtaelewa vizuri siku ukimkaza.