Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Pole Sananimeambiwa eti alikuwa amelewa??.. Siwezi kumsahau huyu jamaa kwa aliyonifanyia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sananimeambiwa eti alikuwa amelewa??.. Siwezi kumsahau huyu jamaa kwa aliyonifanyia...
Nadhani bahari ina mambo ya ajabu kwa macho yetu haya ya kawaida ya nyama huwezi jua. Mi ndo mana huwa muoga wa majiBaharini ukiingia na saa/bangili hutoki nayo kama boxer/chupi iwe ya kubana sana ikipelea kidogo inashuka, habari haifai
Nimeona ndio ila nahtaji more elaboration ya hyo kitu nielewe nini kinachopelekea hyo haliTumia muda utaona tu
Niko empty ningekuwa nime experience hyo hali nadhani ningeelewaMuscle cramp kama unaipata.
Thanks so much got you.
Muscle cramp au unaogelea umelewa unapasua mishipa maana alcohol inaongeza temp we unaenda ipoza faster on cold water ..Mkuu, hivi huwaga kuna nini huko? Maana story zake sio nzuri kabisa. Ben pol alinusutika kukata kamba hukohuko.
Huo muda mm sina SAA hz ,labda wengine, muda wa ugimbi na lindo huu ,hahahahaNimeona ndio ila nahtaji more elaboration ya hyo kitu nielewe nini kinachopelekea hyo hali
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe kunikaza ni ngumu mana najiepusha mno tangia nimekuwa mkubwa sijawahi experience hyo hali ndo mana I was curiousAtaelewa vizuri siku ukimkaza.
We so hauishi bongo huyo pacho ulimuona wapiIla Pancho Mbudya alikua anaenda Sana. Yeye na Hermy michezo ya Maji wanaipenda Sana. Siku yake ilifika tu
Heeeh. Makubwa. Kwahiyo Mimi naishi wapi kaka Ed?We so hauishi bongo huyo pacho ulimuona wapi
MikoaniHeeeh. Makubwa. Kwahiyo Mimi naishi wapi kaka Ed?
Sio kudhani ndivo ilivyo, baharini kuna roho za ajabu sanaNadhani bahari ina mambo ya ajabu kwa macho yetu haya ya kawaida ya nyama huwezi jua. Mi ndo mana huwa muoga wa maji
Labda nilikudanganya.. HahahahaaMikoani
Asante Sana mzeebaba... Wakati naenda dar kutafuta producer wa kuni training ..nilienda b hits.. japo walinizingua sana kumpata.. lakini yeye Alini training vya kutosha.. tena sikumlipa kitu!.. ndipo nikarudi dom.. dah Rip.. BroPole Sana
Yani hapo kwenye joint ya mguu na paja kuna muscle inajikunja mguu huwezi nyoosha ukiforce unachana msuli unaweza kuwa kilema sasa panic kama hiyo ndani ya maji lazima unywe vikombe na ubongo ukiona hauelewi what's happening ndo unaenda shut down ili kukoserve remaining Oxgen but ndo hivyo tena mtu anakufa akiwa amezimia..[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe kunikaza ni ngumu mana najiepusha mno tangia nimekuwa mkubwa sijawahi experience hyo hali ndo mana I was curious
Mi huko mbudya hufika had kwa boti then roho yangu hugoma, vile nilishajifunza kufata roho narudi.Sio kudhani ndivo ilivyo, baharini kuna roho za ajabu sana
Okay sio case kubwaHuo muda mm sina SAA hz ,labda wengine, muda wa ugimbi na lindo huu ,hahahaha
Wanaendaga kufanya Nini ? Hicho wanachofata huko hakiptikani sehemu nyingine ?Ben pol alishawahi kunusurika hukohuko mbudya. Rip pancho.
Mnatusema sana wanaume wa dar mpaka tumeama nchi.. Na wewe so mmoja wa kutupondaLabda nilikudanganya.. Hahahahaa