TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Hapa hapa Dar kilomita chache toka ufukwe wa bahari kama unaenda Zanzibar kwa boat huwa unakipita kikiwa kushoto kwa boat.
Ukikaa Coco beach kinaonekana vizuri.
Shukran mkuu
Coco Beach utaiona bongoyo, Mbudya ukitaka uifaidi fukwe za kunduchi ,au ukiwa unaenda tegeta unapanda kilima kile unaweza kukiona vzr
 
Duh

Haya maji maazuri hivi tunayaona. Nakumbuka enzi najifunza kuogelea katika swimming pool niko na kick board. Nimetoka kwenye kina kifupi vizuri ile niko kina kirefu ile kick board ilokua inanisaidia kuelea ikaniponyoka... na huo muda sijajua kuogelea Zaidi ya kupiga miguu tu

Jamani niliona kufa huku..... nikaanza kutapa tapa kwenye maji piga makelelle. Ma coach walikua fasta wakaingia katika maji waniokoe ila akashimswa maana nilikua namvuta na yeye anazama. Wananiambia tulia yaani mimi huo muda namuona Israeli huyo anachukua roho yangu. Naanzaje kutulia....Wakaniacha pale kwa dk nikanywa vikombe kadhaa nikalegea ndio wakanitoa.

Niliapa sirudi kwenye maji anadani asilani lakini ndio hivyo binadam tunasahu.
 
Pole Sana kwa kukumbushwa machungu.
 
Pole sana.
Maji haya, basi tuu.Nimewahi kuponea pia nikiwa baharini.Hiyo siku nipo na marafiki tunaogelea nikawa nnaogelea kina kifupi.Baada ya kuogelea kwa mda fulani nikawa nafurahia kuwa nimeweza kuelea kwa mda mrefu bila kukanyaga chini.Baada ya kuchoka sasa nikasema ngoja nishushe miguu chini, sikuamini kuwa nilikua kina kirefu bila kujua.Piga kelele wajamaa wakadhani ninatania, nikapambana nikarudi ng'ambo na zoezi la kuogelea likaishia hapo kwa siku ile.Ni hatari sana.
 
Mwezi wa 8 tulimzika mkaka anaitwa Dixon na alikua mwalimu wa kuogelea.

Alienda kumuokoa demu wake akiwa anazama matokeo yake wakafa wote, niliiogopa Mbudya.
Kuokoa mtu huo ni ujizi mwingine tofauti na kujua kuogelea.
 
Kitu kikubwa kwenye maji ni kurelax....ukitulia kama maiti utaelea zaidi ya boya!!.
Exactly..ndio maana mtt mchanga ukimweka kwenye maji hazami. Mimi nikiogelea baharini nikachoka natulia naanza tena, kuna watu hawawezi kufloat lazima awe kwenye movement so akichoka anazama. Lakini pia kama walikua wanakunywa hiyo ni hatari au muscle cramps nazo, ila aliyeshuhudia anasema kwamba jamaa alikua yupo anaelea kichwa kipo ndani ya maji, sasa sjaelewa imekuaje akafa maybe heart attack.
 
Mmmh hatar sana Ulitoka uchi mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…