TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

R.I.P Pancho Alikua kijana Mdogo Dah [emoji22]Mimi Naogopa Maji Sana Zamani Niliwai kuogolea niliona kabisa Siwezi
 
Nimekuja mbio nikidhani uzi umesindikizwa na kapicha

Wengine tulikuwa hatumjui kwa sura aisee
Wewe unatokea mkoa gani. Hahaha
Kwanini unataka picha marehemu na humjui arifu.
 
Hiki kisa chako kinahuzunisha na kuchekesha kicheko cha huzuni yani nguo zinavulika kabla ya kuzivua. Mi nimezoea kuogelea kwenye swimming pool baharini na allergy napo
 
Hii thread inaongoza kwa michapio, sijui kiswahili kigumu?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Dah mkuu nimecheka sana baada kuona mchapio wa Mheshimiwa..


Rest in Power Pancho [emoji17][emoji120]
 
Pumzika kwa amani kaka! Taifa linapoteza vijana kwa kasi Sana
Mungu achilia rehema na neema since vijana ni chumvi ya ulimwengu
 
Hiki kisa chako kinahuzunisha na kuchekesha kicheko cha huzuni yani nguo zinavulika kabla ya kuzivua. Mi nimezoea kuogelea kwenye swimming pool baharini na allergy napo
Baharini ukiingia na saa/bangili hutoki nayo kama boxer/chupi iwe ya kubana sana ikipelea kidogo inashuka, habari haifai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…