TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

kweli kabisa..kuogelea sio lazima miguu na mikono...kama ni mjuzi hata mikono tu inatosha....kuna mashindano ya Olimpiki ya walemavu... Jamaa wanaogelea kwa kasi na miguu hawana..wanatumia mikono tu.
Sijakataa , sasa kwani watu wote wanaoogelea ni professional wa Olympic au wote ni diver halafu panic ya ajali nahisi mnaiweka pembeni HV wewe uone unakufa will you relax .. We kuitwa kituo cha polisi tuu unajiharishia sembuse kuona kifo..
 
Inategemeana pengine alikuwa amelewa, napia maji visiwani hawa ni marefu uzoefu unatakiwa
 
Back
Top Bottom