TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Maji ni kitu kingine wengine kuwepo leo ni kwa neema tuu. Nishazamaga kisimani nikiwa darasa la pili kisima chenye urefu wa futi 14 walivyokuwa wanasema na kimejaa maji tooop nashukuru Mungu niliokolewa na mpita njia maana nilikuwa mwenyewe nje ya nyumba. Kwa hyo huko coco sijui mbudya sijui swiming pool yoyote mimi kwangu najioneaga kwenye picha tuu.
 
Pole mbaba kwa yaliyokukuta, vipi siku hzi bado unaendaenda huko beach?
Sio bahari tuu asee nakumbuka mwaka 2011 nilimsindikiza mshkaji mmoja raiya wa netherland mwanza kesho yake tukaenda fukwe za ziwa victoria nikiwa nishaonja pombe nkaenda kuogelea nilipigwa na wimbi likanipack kwenye kina kirefu nikahisi nko kuzimu nikapambana nkatoka cha kwanza nilichukua nguo nkaenda kuvalia counter,pombe yote iliisha
 
Back
Top Bottom