Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
hahaaa!! Wewee!!Mimi huyu ntakukumbatiaa ujute eti !!Ntakupa ofa ya kwenda huko,unapandia pale open beach jirani na jangwani sea breeze yani viboti vimechoka utafikiria magari ya budege yale ya kubeba taka