YesOh! So, it's just ajali kama ajali nyingine yoyote ambayo inaweza kutokea hata kwenye swimming pool!
Uko vzr!!!Hii ngoma Fiesta ,pale Sayansi K'nyama ilimnyanyua Busta Rhymes ,hakuamini macho na masikio yake ,wale waliokua VIP nadhani wanakumbuka Mzee mzima Busta alivyowehuka na hii ngoma
HahahahaUko vzr!!!
Eeehh!bwanaa!Hahahaha
Kawaida tuEeehh!bwanaa!
Sawa bwanKawaida tu
Hahaha, nini tena ?Sawa bwan
HapanaHahaha, nini tena ?
Safi ,natumai uko poaHapana
Kabisaa..yaaniSafi ,natumai uko poa
Kufanya deal la biashara na wajerumaniWalienda Ku shoot Au?? Ngoja tuone ripoti itasemaje.
Kufanya deal la biashara na wajerumani
Ndio.ila waliomuona wanasema alikua amelewa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu Pombe na Maji haviendi.Ndio.ila waliomuona wanasema alikua amelewa sana
Na ndio maana watu wanadai alienda kula bata
Kati ya beat nnazozikubali sana alizopiga ni bye bye na ile brand (kama blue magic) zote za joh makini, bila kusahau dsm stand up ya chidibaadhi ya hit songs alizotengeneza pancho
Mabeste-baadaye sana
Tundaman ft dully sykes-mdananda
Albino fulani-nikipata nafasi
Joh makini-bye bye
Joh makin-karibu tena kweny show za joh
Omary omary-kupata majaaliwa
Mataluma-kariakoo
Baby madaha-amore
Moni centrozone ft baraka-matango pori
Ay & fa- usije mjini
Chid benz-dsm stand up
Fa-unanijua unaniskia