TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

baadhi ya hit songs alizotengeneza pancho

Mabeste-baadaye sana
Tundaman ft dully sykes-mdananda
Albino fulani-nikipata nafasi
Joh makini-bye bye
Joh makin-karibu tena kweny show za joh
Omary omary-kupata majaaliwa
Mataluma-kariakoo
Baby madaha-amore
Moni centrozone ft baraka-matango pori
Ay & fa- usije mjini
Chid benz-dsm stand up
Fa-unanijua unaniskia
 
Jioni wakati wa kurudi maji yakijaa, boti unaweza kuiona kama inazama. Mawimbi makali sana.
Mimi nilijiapiza nikienda #Mbudya mapema tu, saa 11.30 nimesharudi.

Poleni sana ndugu, jamaa na familia ya Pancho #RIP Pancho
 
baadhi ya hit songs alizotengeneza pancho

Mabeste-baadaye sana
Tundaman ft dully sykes-mdananda
Albino fulani-nikipata nafasi
Joh makini-bye bye
Joh makin-karibu tena kweny show za joh
Omary omary-kupata majaaliwa
Mataluma-kariakoo
Baby madaha-amore
Moni centrozone ft baraka-matango pori
Ay & fa- usije mjini
Chid benz-dsm stand up
Fa-unanijua unaniskia
Kati ya beat nnazozikubali sana alizopiga ni bye bye na ile brand (kama blue magic) zote za joh makini, bila kusahau dsm stand up ya chidi
 
Back
Top Bottom