TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Anaitwa Amani, mdogo wake Hermes.

Kwenye ile orodha ongeza:-
Mabeste,
Vanessa Mdee

Kaka ...
Sawasawa. Pancho ame produce nyimbo za vijana wengi sana ukiwemo mchiriku wa Ferooz Mrisho.
 
Nilikua na mpango kwenda Mbudya kuogelea kumbe watu wanazama
 
Anaye jua sifa za kisiwa cha Budya na shughuli zinazofanyika uko ATUJUZE TAFADHALI,
Pumzika kwa Amani Joshua.
 
Mbudya nilitaka kuzama mchanga wake wa bahari ndani ya maji mlaini ukikanyaga unatitia chini yani unazama na hayo maji ya kiuno tu na ubaya sijui kuogelea aliniokoa mtu mmoja tangu siku hiyo maji ya bahari siingii kabisa nakaa nchi kavu tu
RIP Mkaka
Pole sana Sonia G
 
Back
Top Bottom