tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Joshua ndio jina ambalo gairo kwao wanalijua,kufika town kajiita pancho latino
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hela inakuwa wapi?wengine wanawapeleka mbali mikifika wanawaambia muongeze hela ndio
wawarudishe
Rafiki una vituko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Joshua ndio jina ambalo gairo kwao wanalijua,kufika town kajiita pancho latino
Jamani marehemu Ana lips nzuri kama zanguHuyu hapa....alitengeneza wimbo wa Joh Makini Karibu kwenye Show za JohView attachment 892152
Mimi ukija huku camp naitwa red snake[emoji1] [emoji102]Rafiki una vituko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha daaah nacheka kama mazuri vile daaahJoshua ndio jina ambalo gairo kwao wanalijua,kufika town kajiita pancho latino
Sawasawa. Pancho ame produce nyimbo za vijana wengi sana ukiwemo mchiriku wa Ferooz Mrisho.Anaitwa Amani, mdogo wake Hermes.
Kwenye ile orodha ongeza:-
Mabeste,
Vanessa Mdee
Kaka ...
Wamezika leoHivi ameshazikwa??
Haaaha mi nilijua labda ana ulatino kidogo ķumbe mpogoro wa moro tu hapoJoshua ndio jina ambalo gairo kwao wanalijua,kufika town kajiita pancho latino
[emoji23][emoji23][emoji23] bro umenichekesha sanaHaaaha mi nilijua labda ana ulatino kidogo ķumbe mpogoro wa moro tu hapo
Kwanini hawaruhusiwi kufika?Wala hapana danger, kuna sehemu watu hawaruhusiwi kufika na pana bango.
pana mkondo wa majiKwanini hawaruhusiwi kufika?
Ulishawahi kuzama?
Pole sana Sonia GMbudya nilitaka kuzama mchanga wake wa bahari ndani ya maji mlaini ukikanyaga unatitia chini yani unazama na hayo maji ya kiuno tu na ubaya sijui kuogelea aliniokoa mtu mmoja tangu siku hiyo maji ya bahari siingii kabisa nakaa nchi kavu tu
RIP Mkaka