Utakua unajua kuogelea ,ila kumbuka ktk maji mkikosea step mnakufa wote wawili km mmoja akiwa mapepe na maji ,na km akijua wewe mapepe akusaidiii ng'o ,hiyo ni rule kabisa ya kujiokoa ktk majiMimi sijawahi kuogopa Maji sijui kwanini.. Sema natakaga kuwa na mwanaume karibu nikiwa nadeal na Maji
Ndio mkwe. Mambo ya kubwia vikombe hapanaHahaaaahaaa!! Mwanaume wa kukupa back up
Ni kisiwa kipo dsm na pancho ni producer wa B hitz boss ni hammy B kama ilivyo kwa marco chali boss ni master jayNi mtanzania? Mbudya ni wapi huko?
Ni kisiwa ambacho kina mkondo mkubwa wa maji kasi,lakini sehemu inayoanzia mkondo huo kuna bango kubwa limewekwa kuwataadhalisha waogeleaji wasikaribie eneo hilo kuna maeneo salama yaliyoelekezwa kwa waogeleaji,tatizo waendajii wengi wa kule wakifika kwa good time hawana muda wa kusoma mabango na kufuata sheria bila shuruti kama kawaida yetu wa Tezee.Mkuu, hivi huwaga kuna nini huko? Maana story zake sio nzuri kabisa. Ben pol alinusutika kukata kamba hukohuko.
Mimi hapana siogi wala kuogelea aisee!!ntashangaa na kuchezea mchanga plus kutembea kuoga noooo!!!Ndio mkwe. Mambo ya kubwia vikombe hapana
Kumbe?? Hata Mimi sijawahi liona hilo bango Haki ya Mungu.Ni kisiwa ambacho kina mkondo mkubwa wa maji kasi,lakini sehemu inayoanzia mkondo huo kuna bango kubwa limewekwa kuwataadhalisha waogeleaji wasikaribie eneo hilo kuna maeneo salama yaliyoelekezwa kwa waogeleaji,tatizo waendajii wengi wa kule wakifika kwa good time hawana muda wa kusoma mabango na kufuata sheria bila shuruti kama kawaida yetu wa Tezee.
Km mt anataka kukuokoa na wewe hujui kuogelea unaleta mapepe nakubugisha kwanza vikombe ulegee ndio anakuokoaNdio mkwe. Mambo ya kubwia vikombe hapana
Mi napenda sema mchana usiku naogopa. Nilishakua na kitu cha kwamba bahari sio rafiki ikifika magharibi. Hata usiku nikiwa eneo LA bahari nikitaka kugusa Maji naomba MTU anisindikizeMimi hapana siogi wala kuogelea aisee!!ntashangaa na kuchezea mchanga plus kutembea kuoga noooo!!!
Alikuwa mtaalamu wa kuogelea haswaa ila alikufa majiIlikuwaje mkuu huyo Mafiaga??
Heheheheee.. Kwanini sasa??Km mt anataka kukuokoa na wewe hujui kuogelea unaleta mapepe nakubugisha kwanza vikombe ulegee ndio anakuokoa
Hahaaa....anza kusoma matangazo sasaKumbe?? Hata Mimi sijawahi liona hilo bango Haki ya Mungu.
Wewe utaona kivuli tu kinakuvutaUlikutana nae live?
Ni sehemu poa sana na salama sana chief kwa mapumziko ya weekend wala usihofie,ajari zaweza tokea sehemu yoyote ile,ingawa wakati mwingine ajari nyingi zinatokana na viburi vyetu tu sisi Binadaam.Nimekuwa nkitamani kufika kwenye hivi visiwa ambavyo vijana wengi wa Dar es Salaam wamekuwa wakienda wikiendi,hili linafanya nijifikirie mara mbili aise
Daah. Ningezimia kwa kihoroWewe utaona kivuli tu kinakuvuta