TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Mkuu, hivi huwaga kuna nini huko? Maana story zake sio nzuri kabisa. Ben pol alinusutika kukata kamba hukohuko.
Ni kisiwa ambacho kina mkondo mkubwa wa maji kasi,lakini sehemu inayoanzia mkondo huo kuna bango kubwa limewekwa kuwataadhalisha waogeleaji wasikaribie eneo hilo kuna maeneo salama yaliyoelekezwa kwa waogeleaji,tatizo waendajii wengi wa kule wakifika kwa good time hawana muda wa kusoma mabango na kufuata sheria bila shuruti kama kawaida yetu wa Tezee.
 
Kumbe?? Hata Mimi sijawahi liona hilo bango Haki ya Mungu.
 
Nimekuwa nkitamani kufika kwenye hivi visiwa ambavyo vijana wengi wa Dar es Salaam wamekuwa wakienda wikiendi,hili linafanya nijifikirie mara mbili aise
Ni sehemu poa sana na salama sana chief kwa mapumziko ya weekend wala usihofie,ajari zaweza tokea sehemu yoyote ile,ingawa wakati mwingine ajari nyingi zinatokana na viburi vyetu tu sisi Binadaam.
 
Back
Top Bottom