Uwiii.. Mnazidi kuniogopeshaMwezi wa 8 tulimzika mkaka anaitwa Dixon na alikua mwalimu wa kuogelea.
Alienda kumuokoa demu wake akiwa anazama matokeo yake wakafa wote, niliiogopa Mbudya.
Vijana wengi wa Dar wanajua kuchezea mchanga na wimbi linalopiga hapo pwani, lakini suala la kuogelea wanaujasiri kwenye swimming pool tu. Hafu kosa walilofanya badala ya kumkamua maji yatoke kwa kumminya na kumkamua tumbo, na kumvuta hewa na maji yatoke mdomoni wanamshangaa tu na kuishia kumkimbizaNami nimeona hivyo ,halafu hawana msaada wamewaachia wavuvi
Kitu kikubwa kwenye maji ni kurelax....ukitulia kama maiti utaelea zaidi ya boya!!.Nimesema hapo juu kuwa hata km unajua kuogelea km unaye muokoa ana mapepe mnakufa wote
Kabisa , Isingekua kumuokoa demu wake Dixon asingekufs.Nimesema hapo juu kuwa hata km unajua kuogelea km unaye muokoa ana mapepe mnakufa wote
Kabisaa!!Hamna raha kuogelea Kama ukilewa Sasa. Sema sio baharini. Bahari haizoeleki
Mkuu unayajua Maji ya bahari na mawimbi yake? Yani kuogelea swimming pool au kwenye mto si sawa na kwenye bahari,labda uwe professional diverRIP.......kujua kuogelea ni muhimu sana....swimming ni life saving skill...ni kweli unaweza kujua kuogelea na still ukafa lakin kama unajua inapunguza risk........
Duh!maji hayana ufundi jamani...hatari aiseehh!!Mwezi wa 8 tulimzika mkaka anaitwa Dixon na alikua mwalimu wa kuogelea.
Alienda kumuokoa demu wake akiwa anazama matokeo yake wakafa wote, niliiogopa Mbudya.
Nimeangalia clip video, first aid sio nzuri ,halafu wanachanganya maji ya swimming pool na bahariVijana wengi wa Dar wanajua kuchezea mchanga na wimbi linalopiga hapo pwani, lakini suala la kuogelea wanaujasiri kwenye swimming pool tu. Hafu kosa walilofanya badala ya kumkamua maji yatoke kwa kumminya na kumkamua tumbo, na kumvuta hewa na maji yatoke mdomoni wanamshangaa tu na kuishia kumkimbiza
Na hili ndo kubwa maana wanasemaga ukila mzigo kwe maji ya bahari baasi hata ngoma hupatiHalafu hamna hata cha maana sema kunatamanisha Fulani kulewa na kujig jig. Wengi wanaoendaga Siku za kazi wanaendaga na mboga
Halafu hamna hata cha maana sema kunatamanisha Fulani kulewa na kujig jig. Wengi wanaoendaga Siku za kazi wanaendaga na mboga
Mimi huyu kabisaa....!!!Mbudya sitokuja kwenda, acha niwe mshamba.
Watu wengi hawana elimu ya ukoaji, na tatizo ni kuondoa somo ya sayansi kimu lilikuwa linafundisha namna ya kumuokoa mwenzio katika majanga mbalimbali kama moto, maji, nkNimeangalia clip video, first aid sio nzuri ,halafu wanachanganya maji ya swimming pool na bahari
Huko kujig jigi ndo kumemponza halafu ukiangalia inaonesha alilewa ila yote ya yote ahadi ikifika hakuna ujanja tutasema sijui alikunywa,sijui alifanya vile lkn ndo iliandikwa atakufa kwa staili hyo.Halafu hamna hata cha maana sema kunatamanisha Fulani kulewa na kujig jig. Wengi wanaoendaga Siku za kazi wanaendaga na mboga
Looh. Watu tunadangañyana Sana jamaniNa hili ndo kubwa maana wanasemaga ukila mzigo kwe maji ya bahari baasi hata ngoma hupati
Unachosema ni kweli lakini pia inatupasa tuchukue tahadhali tusilewe kabla ya kuogelea maana kuna mshikaji na yy alikufa maji sababu alikuwa amelewa then akaogelea..RIP.......kujua kuogelea ni muhimu sana....swimming ni life saving skill...ni kweli unaweza kujua kuogelea na still ukafa lakin kama unajua inapunguza risk........