TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Kinachowaua waogeleaji wazuri kwenye maji....ni njaa kama wamekwama mbali na makazi!!!...

Mawimbi makubwa yanayochosha mwili.....

Na kushikwa na misuli Yaani ndio baharia anakufa huku anajiona!!!....usiombe ushikwe na msuli ndani ya maji....unaweza kufa hata kwenye kina kifupi cha maji!!.,,,,

Na hili tatizo huwapata waogeleaji wanaokaa muda mrefu mbali na maji!!!...
Hiyo hali tulikuwa tunapambana nayo sana tukiwa vijana wadogo kule ziwani, ila kwasasa misuli ikinibana na uzito nilionao kuongeza na umri nazani sichomoki
 
Picha basi wengine hatumfahamu
Huyu,...
gossipcourt-20181009-0001.jpeg
 
Hiyo hali tulikuwa tunapambana nayo sana tukiwa vijana wadogo kule ziwani, ila kwasasa misuli ikinibana na uzito nilionao kuongeza na umri nazani sichomoki
Basi huo ndio UKIMWI wa waogeleaji huko baharini!!!....

Hata wapiga mbizi isipokuwa wale kinachowaokoa ni mawasiliano
 
Hiyo hali tulikuwa tunapambana nayo sana tukiwa vijana wadogo kule ziwani, ila kwasasa misuli ikinibana na uzito nilionao kuongeza na umri nazani sichomoki
Kuna mshikaji mmoja wa timu ya vijana basketball miaka ya nyuma,alifanya mazoezi nje kwenye fukwe kigamboni akaingia kuogelea,msuli ukabana tulizika mbona
 
Just In: Taarifa zilizotufikia hivi punde, Producer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama mafia, amefariki kwa ajali ya kuzama na maji kisiwa cha Mbudya. Taarifa zaidi zitafuata.
 
Hata mie imeniuma sana. Kuna beat moja ya Albino flani feat. Sugu &MwanaFA katisha sana. Acha hizi za Bado niponipo na Habari ndio hiyo. Dah. RIP Pancho!
Dah pancho latino R.I.P ninja
.
Hawa jamaa sijui wapo kwenye hali gani
1. Shetta
2.hammy B-mmiliki wa studio
3.Ambwene yesaya
4. Mwana FA
5.nimekasahu Jina kadogo kamoja hivi kame graduate tumaini
Pancho pancho pancho mungu akufanyie wepesi aisse
 
Back
Top Bottom