Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
View attachment 892221
Pancho Latino maarufu 'Mafia' amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama kwenye maji wakati anaogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jijini Dar es Salaam
Pancho alikuwa mtayarishaji wa muziki katika studio za B’ Hitz Record.
Kul nafs dhaarika tul mauti. Nyuma yako mbele yetu.
Upumzike salama .
Mkuu hiyo ni aya katika Quran, irekebishe ni Dhaaikatul.
Poleni sana kwa walioguswa na hiki kifo