Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kafa kwa ahadi binamuuAu wamemzamisha jamani uwii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafa kwa ahadi binamuuAu wamemzamisha jamani uwii
Hata mie imeniuma sana. Kuna beat moja ya Albino flani feat. Sugu &MwanaFA katisha sana. Acha hizi za Bado niponipo na Habari ndio hiyo. Dah. RIP Pancho!
Word.then unaweza ukawa unajua kuogelea lakini ukawa huna pumzi za kutosha".. pumzi nikiungo muhimu mnoo kwenye uogeleaji
Coco sio nzuri kwa kuogelea,ina mawe mengi chini na mashimo,ndio maana pale zaidi zile boya za masela waleNifundishe kuogelea basi niwe naogelea hata Coco bichi
Navoogopa maji Mimi...muoga mnoo naendaga bichi kupeleka watoto tu baasi!!!Coco sio nzuri kwa kuogelea,ina mawe mengi chini na mashimo,ndio maana pale zaidi zile boya za masela wale
Nimekuwa nkitamani kufika kwenye hivi visiwa ambavyo vijana wengi wa Dar es Salaam wamekuwa wakienda wikiendi,hili linafanya nijifikirie mara mbili aise
Au sioAcha uongo..ukijua kuogelea umejua tu...hakuna cha mto wala bahari
Hahahaha, maji km huyajui yaogope mm nayaheshimu sana majiNavoogopa maji Mimi...muoga mnoo naendaga bichi kupeleka watoto tu baasi!!!
AY kashatoa kafara..Hicho kisiwa si ndio wanasema Ay kafanya investment
Mimi nayaheshimu mnoooHahahaha, maji km huyajui yaogope mm nayaheshimu sana maji
Duh, maji hayanaga urafiki...muda wowote yanakuchenjia.Mwezi wa 8 tulimzika mkaka anaitwa Dixon na alikua mwalimu wa kuogelea.
Alienda kumuokoa demu wake akiwa anazama matokeo yake wakafa wote, niliiogopa Mbudya.
mwaka 2014 mwezi 12 nilinusurika kufa maji msasani beach baada ya maji kurudi nilikuwa mbali kidogo na ukingo wa bahari.nilitumia maarifa na nguvu zangu zote kujiokoa nilikuwa nimevaa vest na boxer cha ajabu ile vest na boxer niliiziona nzito na sijui nilizivua vipi na kubaki uchi nilipiga miguu mpaka msuli wa mguu moja wa kushoto ukanishika niliishiwa nguvu nikiwa naelekea chini huku nimisha kubali kifo bahati nzuri ile nimegota chini nayasikia maji utosini nikaenda mbele kidogo ndipo yakanifikia machoni.Kinachowaua waogeleaji wazuri kwenye maji....ni njaa kama wamekwama mbali na makazi!!!...
Mawimbi makubwa yanayochosha mwili.....
Na kushikwa na misuli Yaani ndio baharia anakufa huku anajiona!!!....usiombe ushikwe na msuli ndani ya maji....unaweza kufa hata kwenye kina kifupi cha maji!!.,,,,
Na hili tatizo huwapata waogeleaji wanaokaa muda mrefu mbali na maji!!!...
Hahahaha, vzr SanaMimi nayaheshimu mnooo
Pancho_Upeeeeee
Maji huwa yanaua haraka sana!! Dk 10 ni nyingi ukicheza nayo vibaya.!! sio maji ya swimming pool !! RIP PanchoNimepanic ghafla kumbe Maji yanaweza kumgeuka binadamu haraka hivi yarab