TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Daaah! RIP Brother! Jamaa huwa namkubali sana, huwa anatengeneza ngoma flani hivi zenye beats nzito sana na very technique designed,,,, Wafatiliaji wa nyimbo za Mabeste za zamani watakua wananielewa...!
 
Ndiyo ...Dixon mwili wake ulionekana siku hiyo hiyo, demu wake ulionekana kesho yake Coco beach ulifikaje fikaje hatujui
Masikini daah!huzuni sana!
Hyo maiti hapo imesombwa na maji mpk coco
 
Back
Top Bottom