TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

mwaka 2014 mwezi 12 nilinusurika kufa maji msasani beach baada ya maji kurudi nilikuwa mbali kidogo na ukingo wa bahari.nilitumia maarifa na nguvu zangu zote kujiokoa nilikuwa nimevaa vest na boxer cha ajabu ile vest na boxer niliiziona nzito na sijui nilizivua vipi na kubaki uchi nilipiga miguu mpaka msuli wa mguu moja wa kushoto ukanishika niliishiwa nguvu nikiwa naelekea chini huku nimisha kubali kifo bahati nzuri ile nimegota chini nayasikia maji utosini nikaenda mbele kidogo ndipo yakanifikia machoni.
tokea mwaka 2014 sijawahi kurudi baharini tena wala kusogelea maji yoyote kwa ajili ya kuogelea-bahari sasa naiona kama kituo cha polisi.
Maji yalijaa ghaflaa au????
 
Ndiyo ...Dixon mwili wake ulionekana siku hiyo hiyo, demu wake ulionekana kesho yake Coco beach ulifikaje fikaje hatujui
Khaaa yani toka beach ya mbudya mpaka coco??????? Maji mafia sanaa
 
Sisemi kwamba ndo ilivokua kwake maake hatujui.. lakini Drinking and swimming is very likely to cause drowning even for an experienced swimmer.. I hope it wasn’t the case here.. RIP Pancho! Gone too soon..
 
Hivi ni kweli na inaingia Akilini Mtu kufa maji mchana kweupe penye watu ?? Na je huko kisiwan alikwenda peke yake?? Mi nadhan huo mwili kabla ya kuzikwa ufanyiwe uchunguzi wa kina,R.I.P PANCHO LATINO
 
Kama huna mema na wenzio kila siku utakuwa una hofu na maisha yako. Usiogope mfu kishakufa mzikeni tu mengine ni kuuzidisha uchungu tu
 
Kila kitu huwa kinasabab MV NYERERE ILIZAMA KWA SABAB ILIBEBA MIZINGO TOFAUTI UWEZO WAKE , kwa akili timam ninawezaji kujitosa pale feri?? Lazima kunasabab behind the scine
Mv nyerere ilizama usiku?!


Hebu naww kesho mchana kajitose pale feri tuone kama utakufa mchana
 
Back
Top Bottom