Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Bongoyo hakuna, nishaenda sana,matukio ni huko mbudya na haya unayosikia yamehusisha watu maarufu,kuna mengine ya kimya kimyaOhooo natumai huko hakuna matukio kama ya Mbudya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongoyo hakuna, nishaenda sana,matukio ni huko mbudya na haya unayosikia yamehusisha watu maarufu,kuna mengine ya kimya kimyaOhooo natumai huko hakuna matukio kama ya Mbudya?
Maji yalijaa ghaflaa au????mwaka 2014 mwezi 12 nilinusurika kufa maji msasani beach baada ya maji kurudi nilikuwa mbali kidogo na ukingo wa bahari.nilitumia maarifa na nguvu zangu zote kujiokoa nilikuwa nimevaa vest na boxer cha ajabu ile vest na boxer niliiziona nzito na sijui nilizivua vipi na kubaki uchi nilipiga miguu mpaka msuli wa mguu moja wa kushoto ukanishika niliishiwa nguvu nikiwa naelekea chini huku nimisha kubali kifo bahati nzuri ile nimegota chini nayasikia maji utosini nikaenda mbele kidogo ndipo yakanifikia machoni.
tokea mwaka 2014 sijawahi kurudi baharini tena wala kusogelea maji yoyote kwa ajili ya kuogelea-bahari sasa naiona kama kituo cha polisi.
Khaaa yani toka beach ya mbudya mpaka coco??????? Maji mafia sanaaNdiyo ...Dixon mwili wake ulionekana siku hiyo hiyo, demu wake ulionekana kesho yake Coco beach ulifikaje fikaje hatujui
ni mKENYA ANAITWA SHREKEEZYIla mbudya noma sana coz hata kuna yule aliekuwa mwenzie na wakina nah real nae alikufa maji huko mbudya.
Rip Latino mafia
Ohoo hapo sawa.Bongoyo hakuna, nishaenda sana,matukio ni huko mbudya na haya unayosikia yamehusisha watu maarufu,kuna mengine ya kimya kimya
Nimejibu hili ,bongoyo ni msasani unapandia slip way ,kwa mbele ndio unaenda kisiwa cha mbudya na kuna kingine ila sio maarufu sanaMkuu bongoyo ndo wapi?
Ebu nitumie nami niione mkuuNami nimeona hivyo ,halafu hawana msaada wamewaachia wavuvi
M RapDah pancho latino R.I.P ninja
.
Hawa jamaa sijui wapo kwenye hali gani
1. Shetta
2.hammy B-mmiliki wa studio
3.Ambwene yesaya
4. Mwana FA
5.nimekasahu Jina kadogo kamoja hivi kame graduate tumaini
Pancho pancho pancho mungu akufanyie wepesi aisse
Hivi ni kweli na inaingia Akilini Mtu kufa maji mchana kweupe penye watu ?? Na je huko kisiwan alikwenda peke yake?? Mi nadhan huo mwili kabla ya kuzikwa ufanyiwe uchunguzi wa kina,R.I.P PANCHO LATINO
Michiriku pia alikuwa anipiga Sanaaa! Pia ukumbuke ndiye producer wa ngoma ya Chid benz-Daresalaam stand up na hip hop nyingine Kali sanaHuyu ndo yule producer wa michiriku?
Mv nyerere ilizama usiku?!
Hebu naww kesho mchana kajitose pale feri tuone kama utakufa mchana
Maji kupwa ,Maji kujaaThen leo maji ya bahari yalitoka sana na kuanza kurejea mida ya mchana hivi, na maji yakiwa yanarudi kunakuwa na mawimbi kiasi chake