TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Harari mkuu, mtu umekulia dodoma hakuna hata ziwa, unaogelea kwenye madimbwi leo univukishe maji nayaona hivi, hapana kwa kweli. Ila yote yote siku ikifika imefika ila tahadhari ni mihimu pia.
Hahahaha na kweli
 
Vijana wengi wa Dar wanajua kuchezea mchanga na wimbi linalopiga hapo pwani, lakini suala la kuogelea wanaujasiri kwenye swimming pool tu. Hafu kosa walilofanya badala ya kumkamua maji yatoke kwa kumminya na kumkamua tumbo, na kumvuta hewa na maji yatoke mdomoni wanamshangaa tu na kuishia kumkimbiza
Mkuu first aid yoyote intka Elimu sio tulivyozoea kuona katika televisheni.
Na istoshe practice ni muhimu zaidi katika mafunzo kwasababu pia huo wakati wa kumminya ukikosea unamuua.
 
Nimekulia Mikocheni B, mita kadhaa kwenda baharini na nilikua naenda sana kwa mzungu mmoja wakuitwa Grabu ( mtoto wa Jane Goodhal) jamaa mvuvi ana boti za uvuvi , alikua anatufundisha kuogelea ,maji ya bahari si mchezo ,MTU haokolewi kirahisi rahisi km afuati maelekezo ya anaye kuja kumuokoa
 
Kwenye maji km umezama mpk uokolewe ujue ,inabidi muokoaji ajiridhishe na wewe muokolewa ufuate maelekezo vzr,ukileta mapepe mnakufa wote,au km muokoaji roho ngumu anakuacha upige vikombe kadhaa au anakuacha kabisa ufe,maana akiona wewe mapepe mnakufa wote
Kama haupo mbali na ufukwe...unamuacha kwanza anywe maji ndio unamvuta pwani...other wise
 
Pancho latinoooooo nilikuwa napenda sana hicho kibwagizo chake.

R. I. P Brother.
 
Huyu ndio aliyekuwa anafagilia mambo ya Freemason?

Watakuwa wamemchukua maana alikuwa anawapenda sana.
 
Back
Top Bottom