Chinsali
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 1,002
- 1,542
Hawa ndo wale wanaosema mapenzi ya kwenye maji ni matamu jamani maji hayazoeleki hata uzaliwe baharini.Looh. Watu tunadangañyana Sana jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndo wale wanaosema mapenzi ya kwenye maji ni matamu jamani maji hayazoeleki hata uzaliwe baharini.Looh. Watu tunadangañyana Sana jamani
Chuku chuku ????Benpol aliwah kuponea chukuchuku hapa Mbudya...
Tazama First aid waliyokua wanatoa,wengine wana safari lager mkononi
Anaoneshwa akiokolewa au ?Daah nimeiona hyo clip asee inasikitisha sana
Msuli ukibana hata kwenye swimming pool unaaga dunia!!...Kuna mshikaji mmoja wa timu ya vijana basketball miaka ya nyuma,alifanya mazoezi nje kwenye fukwe kigamboni akaingia kuogelea,msuli ukabana tulizika mbona
Hahahaha na kweliHarari mkuu, mtu umekulia dodoma hakuna hata ziwa, unaogelea kwenye madimbwi leo univukishe maji nayaona hivi, hapana kwa kweli. Ila yote yote siku ikifika imefika ila tahadhari ni mihimu pia.
Hivi bahari si ina chumvi nyingi, hiyo chumvi haina madhara kwenye papuchi kweli?Hawa ndo wale wanaosema mapenzi ya kwenye maji ni matamu jamani maji hayazoeleki hata uzaliwe baharini.
Mpwa...unampinga kwa hoja ipi....!?Looh. Watu tunadangañyana Sana jamani
Mkuu first aid yoyote intka Elimu sio tulivyozoea kuona katika televisheni.Vijana wengi wa Dar wanajua kuchezea mchanga na wimbi linalopiga hapo pwani, lakini suala la kuogelea wanaujasiri kwenye swimming pool tu. Hafu kosa walilofanya badala ya kumkamua maji yatoke kwa kumminya na kumkamua tumbo, na kumvuta hewa na maji yatoke mdomoni wanamshangaa tu na kuishia kumkimbiza
Umeelewa sema ubishi tuChuku chuku ????
Tararibu mkuu.mshawambia stiv nyerere kuna new deal
umeiona wapi hiyo videoNimeona video akiwa kaopolewa kwny maji
Kama haupo mbali na ufukwe...unamuacha kwanza anywe maji ndio unamvuta pwani...other wiseKwenye maji km umezama mpk uokolewe ujue ,inabidi muokoaji ajiridhishe na wewe muokolewa ufuate maelekezo vzr,ukileta mapepe mnakufa wote,au km muokoaji roho ngumu anakuacha upige vikombe kadhaa au anakuacha kabisa ufe,maana akiona wewe mapepe mnakufa wote
No ndo alikuwa yuko nchi kavu akawa anabebwa kuwahishwa mahaliAnaoneshwa akiokolewa au ?