Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
Kuwa akili basi wewe nenda kituo cha polisi kipo karibu na wewe kawaulize watakujibuHivi uprofesa mtu unasomea?je ukifika elimu gan ndo unakuwa profesa?naomba kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa akili basi wewe nenda kituo cha polisi kipo karibu na wewe kawaulize watakujibuHivi uprofesa mtu unasomea?je ukifika elimu gan ndo unakuwa profesa?naomba kujua
Akienda huko polisi na kuwauliza hivyo usanza lazima achezee vibaooo!Kuwa akili basi wewe nenda kituo cha polisi kipo karibu na wewe kawaulize watakujibu
Kuwa profesa unasoma kwanza digrii ya kwanza(shahada ya kwanza aka bachelor), halafu digrii ya pili (shahada ya uzamili-aka masters), halafu inafuata digrii ya tatu (shahada ya uzamivu aka PhD, hapa ndo utaitwa Dr. yaani daktari wa falsafa) na mwisho inabidi uandike machapisho (papers) ambazo maprofesa na watafiti wengine watayakubali, ndipo Chuo unachofanyia kazi chaweza kukutunuku, uprofesa msaidizi(Associate/Assistant Professor) na uprofesa mwandamizi (Full Professor).Hivi uprofesa mtu unasomea?je ukifika elimu gan ndo unakuwa profesa?naomba kujua
Yes ni ndugu nimeona kwenye group fulani. Mungu aendelee kuwafarijiKuna Mavura mwingine amefariki wiki kama tatu hivi zilizopita je ana undugu na huyu?
Hata la saba tu mkuu unaweza kuwa professor, tena ukawa maarufu sana tu mf. prof. Maji marefu, Prof. manyaunyauHivi uprofesa mtu unasomea?je ukifika elimu gan ndo unakuwa profesa?naomba kujua
Profesa ni mwalimu wa Chuo Kikuu,ukiweza kupata PhD hapo utaendelea na tafiti mbali mbali mpaka Dunia itakubali kwa kuishawishi kwa tafiti zako na hapo ndipo maprofesa wezio watakuthibitisha lakini bila hivyo ukiwa na PhD bado utakuwa mwanafunzi tu maana utaitaji Profesa akusimamie kwenye tafiti zako ili nawe uweze kuwa Profesa.Hivi uprofesa mtu unasomea?je ukifika elimu gan ndo unakuwa profesa?naomba kujua

View attachment 367313 PROFESA MAVURA AFARIKI DUNIA NDANI YA NDEGE
Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Jomo Kenyatta cha Arusha (JKUAT), Profesa Ward Mavura amefariki dunia leo wakati akiwa kwenye ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha.
Chanzo kimoja kilicho karibu na familia hiyo kimesema kuwa Profesa Mavura alikuwa anatarajia kwenda India kwa ajili ya matibabu.
SASA ULIKUWA NA ULAZIMA GANI KUANDIKA ULICHOANDIKA HAPA?Kuwa akili basi wewe nenda kituo cha polisi kipo karibu na wewe kawaulize watakujibu
Kwenye Bodaboda!Nitakufaje, huyu kafia angani
Unakuwa prof. baada ya kusoma degree ya kwanza- shahada, ya pili- uzamili, tatu- uzamifu na then ukaandika Makala kadhaa yatakayojadiliwa na kuonekana yameleta mchango ktk jamiiukibobea katika fani fulani ndio unaitwa Profesa na baada ya wenye fani kupitia shughuli zako km uganga, wizi, ujambazi, ukicheche
RIP Prof. Mavura
- Maji marefu Mbunge wa Korogwe