TANZIA TANZIA: Profesa Ward Mavura afariki dunia ndani ya ndege

TANZIA TANZIA: Profesa Ward Mavura afariki dunia ndani ya ndege

[QUO,="jingalao, post: 16892370, member: 56995"]Kuna Mavura mwingine amefariki wiki kama tatu hivi zilizopita je ana undugu na huyu?[/QUOTE]
Ndio ,yule Ni kaka Yake na huyu profesa
 
Kufa kwenye Ndege ni Aina ya Sifa fulani zamani tuliamini... Hata kugongwa tulipenda iwe Gari kama Range rover au Benz
 
Hivi uprofesa mtu unasomea?je ukifika elimu gan ndo unakuwa profesa?naomba kujua
uprofesa ni uprofesa tu hata wewe unaweza ukawa profesa ila kuna maprofesa wa aina nyingi kuna maprofesa uchwara.
harafu kuna maprofesa wengine vichwa maji. yani unakuta uprofesa wake hamna kitu unamsaidia.

lakini huyo mzee inaonyesha alikuwa profesa wa ukweli.
 
Back
Top Bottom