[QUO,="jingalao, post: 16892370, member: 56995"]Kuna Mavura mwingine amefariki wiki kama tatu hivi zilizopita je ana undugu na huyu?[/QUOTE]
Ndio ,yule Ni kaka Yake na huyu profesa
uprofesa ni uprofesa tu hata wewe unaweza ukawa profesa ila kuna maprofesa wa aina nyingi kuna maprofesa uchwara.
harafu kuna maprofesa wengine vichwa maji. yani unakuta uprofesa wake hamna kitu unamsaidia.
lakini huyo mzee inaonyesha alikuwa profesa wa ukweli.