Kwan hapa anazungumziwa makonda? Mbona unachanganya mada, by the way sina chuki na dini yeyote mie.Kama unachukia waislamu kupewa haki nchini basi tulia, maana they are here to stay!
hapa tunacelebrate maisha ya Mkapa jinsi alivyokuwa fair
Sijakusikia ukimkemea Makonda kusema nchi hii iko chini ya kanisa!
Wana haki ya kulalamika maana wao ndo walipigania uhuru wa nchi kwa wingi zaidi wakati kanisa wakati huo likiwakatazeni kujihusisha na harakati za kumpinga mkoloni!
Uwe mkweli wa nafsi yako. Kanisa likimuandaa Nyerere kuja kutawsla. Issue ya Urais ilikuwa ni quality sio quantity.
Sasa hayo yote ya kuelezea kuhusu udini wake ilihusu nn? Aaaaaah
Soma bandiko lote then tafakari afu utapata majibu, kusudio la huyo Dau.Dini na maisha ya dini ni sehemu ya jamii. Kwa hiyo mtawala pia hukumbukwa ni kwa namba gani hakubagua watu kwa misingi ya dini.
Au hujui kuwa katiba ya nchi imekataza ubaguzi kwa misingi ya kidini?
Sasa Dr Dau anaeleza namna gani Mkapa alilitekeleza hilo kwa vitendo.
Nashangaa badala mumpongeze Dau kwa kuleta ushuhuda wa hilo, nyie mnaanza kumshambulia!
Ipo siku mtakuja na andiko kama kumsifia Makonda Kwa Kuwajengea MsikitiKama unachukia waislamu kupewa haki nchini basi tulia, maana they are here to stay!
hapa tunacelebrate maisha ya Mkapa jinsi alivyokuwa fair
Sijakusikia ukimkemea Makonda kusema nchi hii iko chini ya kanisa!
Sasa hivi yupo mla kitimoto mwenzako njoo uajiriwe mkuu.Sitasahau siku mmetusanganya ajira pale NSSF, tukafanyishwa interview IFM, badala yake wakaingizwa watu toka misikitini, nikamkumbuka mlinzi wakati napeleka maombi yangu akawa anamwambia muombaji mojwapo "dada hata kama wewe ni mkristo basi passport yako weka ikiwa umevaa ushungi unaweza usichaguliwe" nilisonononeka sana. Dr. Na wewe tutakukumbuka sana kwa ubaguzi wa kidini.
Sitasahau siku mmetusanganya ajira pale NSSF, tukafanyishwa interview IFM, badala yake wakaingizwa watu toka misikitini, nikamkumbuka mlinzi wakati napeleka maombi yangu akawa anamwambia muombaji mojwapo "dada hata kama wewe ni mkristo basi passport yako weka ikiwa umevaa ushungi unaweza usichaguliwe" nilisonononeka sana. Dr. Na wewe tutakukumbuka sana kwa ubaguzi wa kidini.
Acha uzezeta na udini wewe, na mimi Muislam ambae nilipigwa Chini kwenye huo usaili na kibaraghashia changu nisemeje?Sitasahau siku mmetusanganya ajira pale NSSF, tukafanyishwa interview IFM, badala yake wakaingizwa watu toka misikitini, nikamkumbuka mlinzi wakati napeleka maombi yangu akawa anamwambia muombaji mojwapo "dada hata kama wewe ni mkristo basi passport yako weka ikiwa umevaa ushungi unaweza usichaguliwe" nilisonononeka sana. Dr. Na wewe tutakukumbuka sana kwa ubaguzi wa kidini.
Hyo ni Tanzia, huandikwa mtu akiwa amekufa kama heshima ya kuyaish yale yaliyokuwa hayajulikani kwa umma. Unaona kuwa walishaandikiana barua za kupongezana na kushukuriana baina yao wote wakiwa hai. Katika Tanzia kuna mambo mengi ya hekima na busara huandikwa ambayo huwa hayakuwah kuwa addressed kabla kwa uzito unaopaswa kuwa. Marehemu hasemwi vibaya kihvyo ila maisha yake hubak kuwa Darasa kwa walio hai haijalish aliishi kwa uzur au kwa mabaya. Kuna haja ya kufaham baadh ya mambo kwanin hufanyika kwa wakat fulan au baada ya tukio fulani, na sio kukurupuka tu nakuita watu wanafiki. ELIMU ELIMU ELIMU!Watu ni wanafiki, kwanini hakumwandikia akiwa hai?
Kipo, TCU wanaki-hanlde with CareHivi bado kipo?
Moja wapo ni wewe ni mnafiki mkuu, kwani hairuhusiwi kumsifia mtu akiwa hai?Hyo ni Tanzia, huandikwa mtu akiwa amekufa kama heshima ya kuyaish yale yaliyokuwa hayajulikani kwa umma. Unaona kuwa walishaandikiana barua za kupongezana na kushukuriana baina yao wote wakiwa hai. Katika Tanzia kuna mambo mengi ya hekima na busara huandikwa ambayo huwa hayakuwah kuwa addressed kabla kwa uzito unaopaswa kuwa. Marehemu hasemwi vibaya kihvyo ila maisha yake hubak kuwa Darasa kwa walio hai haijalish aliishi kwa uzur au kwa mabaya. Kuna haja ya kufaham baadh ya mambo kwanin hufanyika kwa wakat fulan au baada ya tukio fulani, na sio kukurupuka tu nakuita watu wanafiki. ELIMU ELIMU ELIMU!
Alikuwa anauenzi ujasiri wa Mkapa kwa ku-balance dini idara na taasis za umma.Enzi za Dau,ili upate kazi nssf,kwanza uwe wa imani yake.....mengine yanafuata.