Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

Kama unachukia waislamu kupewa haki nchini basi tulia, maana they are here to stay!

hapa tunacelebrate maisha ya Mkapa jinsi alivyokuwa fair

Sijakusikia ukimkemea Makonda kusema nchi hii iko chini ya kanisa!
Kwan hapa anazungumziwa makonda? Mbona unachanganya mada, by the way sina chuki na dini yeyote mie.
 
Wana haki ya kulalamika maana wao ndo walipigania uhuru wa nchi kwa wingi zaidi wakati kanisa wakati huo likiwakatazeni kujihusisha na harakati za kumpinga mkoloni!

Uwe mkweli wa nafsi yako. Kanisa likimuandaa Nyerere kuja kutawsla. Issue ya Urais ilikuwa ni quality sio quantity.
 
Achana na stori za akina Yericko Nyerere
Kanisa halijawahi kumuandaa Nyerere kuja kutawala.

Nyerere alivutiwa na movements za Siasa za Tanganyika za miaka ya 50 kama vijana wenzake wa wakati huo walivyovutiwa.
Yeye qualities zake za elimu na upeo vilimdistinguish na wenzie ndo maana akawa top.

Kanisa na Wakoloni walikuwa Chanda na Pete, Mwanzoni mwa harakati za uhuru, kanisa lilikuwa likidiscourage waumini wake kuwapinga wakoloni.
 
Sasa hayo yote ya kuelezea kuhusu udini wake ilihusu nn? Aaaaaah

Dini na maisha ya dini ni sehemu ya jamii. Kwa hiyo mtawala pia hukumbukwa ni kwa namba gani hakubagua watu kwa misingi ya dini.

Au hujui kuwa katiba ya nchi imekataza ubaguzi kwa misingi ya kidini?

Sasa Dr Dau anaeleza namna gani Mkapa alilitekeleza hilo kwa vitendo.
Nashangaa badala mumpongeze Dau kwa kuleta ushuhuda wa hilo, nyie mnaanza kumshambulia!
 
Soma bandiko lote then tafakari afu utapata majibu, kusudio la huyo Dau.
 
Ninyi nyote "MIDHULUMATI" tu kwa jina la dini.

NSSF Shirika nono kwa gharama ya wanachama masikini ninyi wote WAFIA DINI mnapambania KUTAFUNA michango kwa faida ya matumbo yenu huku mkijificha nyuma ya Midini Uchwara.

Mnajifanya Kumwabudu Mungu huku hamna UTU mnatesa wastaafu, wengine wagonjwa wa miguu mnawazungusha mikorido ya NSSF kila siku.

Bora Kuwa Muumini Wa Utu Kuliko Kuwa Mfuasi Wa Midini Katili.
 
Kama unachukia waislamu kupewa haki nchini basi tulia, maana they are here to stay!

hapa tunacelebrate maisha ya Mkapa jinsi alivyokuwa fair

Sijakusikia ukimkemea Makonda kusema nchi hii iko chini ya kanisa!
Ipo siku mtakuja na andiko kama kumsifia Makonda Kwa Kuwajengea Msikiti
 
Sitasahau siku mmetusanganya ajira pale NSSF, tukafanyishwa interview IFM, badala yake wakaingizwa watu toka misikitini, nikamkumbuka mlinzi wakati napeleka maombi yangu akawa anamwambia muombaji mojwapo "dada hata kama wewe ni mkristo basi passport yako weka ikiwa umevaa ushungi unaweza usichaguliwe" nilisonononeka sana. Dr. Na wewe tutakukumbuka sana kwa ubaguzi wa kidini.
 
Sasa hivi yupo mla kitimoto mwenzako njoo uajiriwe mkuu.
 
Sitasahau siku mmetusanganya ajira pale NSSF, tukafanyishwa interview IFM, badala yake wakaingizwa watu toka misikitini, nikamkumbuka mlinzi wakati napeleka maombi yangu akawa anamwambia muombaji mojwapo "dada hata kama wewe ni mkristo basi passport yako weka ikiwa umevaa ushungi unaweza usichaguliwe" nilisonononeka sana. Dr. Na wewe tutakukumbuka sana kwa ubaguzi wa kidini.

Sasa mbona wakati wa Dau overall ya wafanyakazi wa NSSF Wengi zaidi walikuwa Wakiristo kuzidi waislamu, au ulitaka waislamu nao wasipate ajira pale nini?

Sema tu kama unataka nchi hii wakiristo peke yao ndo wapate ajira katika taasisi za umma.
 
Binafsi Sina shida na dini Wala kabila la mtu ingawa huku mtaani kwenye maisha ya kila siku tunakutana na Mambo mengi yatokanayo na ukabila na dini, huwa nachukulia Kama udhaifu wa mtu binafsi anayeutenda.
 
Sitasahau siku mmetusanganya ajira pale NSSF, tukafanyishwa interview IFM, badala yake wakaingizwa watu toka misikitini, nikamkumbuka mlinzi wakati napeleka maombi yangu akawa anamwambia muombaji mojwapo "dada hata kama wewe ni mkristo basi passport yako weka ikiwa umevaa ushungi unaweza usichaguliwe" nilisonononeka sana. Dr. Na wewe tutakukumbuka sana kwa ubaguzi wa kidini.
Acha uzezeta na udini wewe, na mimi Muislam ambae nilipigwa Chini kwenye huo usaili na kibaraghashia changu nisemeje?
 
Watu ni wanafiki, kwanini hakumwandikia akiwa hai?
Hyo ni Tanzia, huandikwa mtu akiwa amekufa kama heshima ya kuyaish yale yaliyokuwa hayajulikani kwa umma. Unaona kuwa walishaandikiana barua za kupongezana na kushukuriana baina yao wote wakiwa hai. Katika Tanzia kuna mambo mengi ya hekima na busara huandikwa ambayo huwa hayakuwah kuwa addressed kabla kwa uzito unaopaswa kuwa. Marehemu hasemwi vibaya kihvyo ila maisha yake hubak kuwa Darasa kwa walio hai haijalish aliishi kwa uzur au kwa mabaya. Kuna haja ya kufaham baadh ya mambo kwanin hufanyika kwa wakat fulan au baada ya tukio fulani, na sio kukurupuka tu nakuita watu wanafiki. ELIMU ELIMU ELIMU!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Moja wapo ni wewe ni mnafiki mkuu, kwani hairuhusiwi kumsifia mtu akiwa hai?
 
Yan alivyoandika vyote ni udini tupu. Mara akikataliwa kwakuwa ni mjahidina,mara mkapa akujali dini ya mtu,mara moinzi alikuwa mwislam, yani kila poinylt ina uislam.

DAU hafai kwa mvua wala jua. Kwanza arudishwe nchini akawe mwalimu wa madrasa, Rafiki yake kesha ondoka
 
Prof Safari nae aandike Tanzia yake kuhusu Mkapa tuone!

Alifukuzwa kazi Chuo cha Diplomasia kisa kuhusishwa na uanachama wa CUF hasa baada ya kumtetea Lipumba pale Kisutu.

Na stahiki zake zikapigwa pin.
 
Enzi za Dau,ili upate kazi nssf,kwanza uwe wa imani yake.....mengine yanafuata.
Alikuwa anauenzi ujasiri wa Mkapa kwa ku-balance dini idara na taasis za umma.
 
Back
Top Bottom